Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ali Kiba sio wa kumfananisha na Diamond. Ali Kiba afananishwe Dudu Baya a.k.a Mamba ndio size yake.
Ali Kiba hajitambui ndio maana kaenda kutia aibu Mombasa
Nadhani atakuwa amelithi, na ww ulivyokuwa new memba alikuwa na tabia kama hizosipo upande wa kiba wala mondi,kama ulivosema no research....
ila najiuliza haya
i.new member hyo research iliyokula mda wako imekusaidia nini au ni hobby yako?
ii.umeonekana waz upo kwa mondi kumkandamiza huyo kiba ila umejiuliza simba ikifa yanga atacheza na nan ajaze watu uwanjan?
iii.je ww pia ni mmoja kati ya ile takwimu ya 4:1 maana akili yako inaonekana ni mgando?
iv.new members wote wana akil kama yako au ndo ugeni wa jf!!
NB:usinitukane mimi ni mpita njia tuu
Unampendelea bana,Ali Kiba size yake ni Babu ayubu,yule alieimba jipu la kwapa sijui limefanya niniAli Kiba sio wa kumfananisha na Diamond. Ali Kiba afananishwe Dudu Baya a.k.a Mamba ndio size yake.
Ali Kiba hajitambui ndio maana kaenda kutia aibu Mombasa
Jamaa angekuwa anajua angeendelea kuimba kama alivyo imba ule wimbo na R KellyUnampendelea bana,Ali Kiba size yake ni Babu ayubu,yule alieimba jipu la kwapa sijui limefanya nini
Watoto wameanza kazi juzi kina Rayvanny,wameshampita kama amesimama
SI eti aliamua kupumzika muziki?kurudi amekuta watu wamechukua nafasi,ndio tabu yote hii anaoipata mpaka kusingizia anarogwaJamaa angekuwa anajua angeendelea kuimba kama alivyo imba ule wimbo na R Kelly
Akajaribu kung'arisha nyota yake Pale Maryland Bar, Mwenge pana Fundi shoe shine mkali sana anaitwa Sele. Akikung'arishia kiatu chako kinakuwa kama kimewekewa kioo, nadhani hata nyota ya Ali Kiba ataimudu kuipiga msasaSI eti aliamua kupumzika muziki?kurudi amekuta watu wamechukua nafasi,ndio tabu yote hii anaoipata mpaka kusingizia anarogwa
Katupiwa Harmonise na Rayvanny apambane nao anachimba chini
Akajaribu kung'arisha nyota yake Pale Maryland Bar, Mwenge pana Fundi shoe shine mkali sana anaitwa Sele. Akikung'arishia kiatu chako kinakuwa kama kimewekewa kioo, nadhani hata nyota ya Ali Kiba ataimudu kuipiga msasa
Usimfananishe mondi na huyo katuni wa kuchora'number don't lie' ,
kuna ubishani wa muda muda mrefu baina ya diamond na ali kiba huku kila shabiki akivutia upande wake,
zifuatazo ni takwimu za ulinganifu baina ya alikiba na diamond