Takwimu alikiba na diamond ubora, mafanikio na fanbase

Takwimu alikiba na diamond ubora, mafanikio na fanbase

homboyz

Senior Member
Joined
Oct 19, 2016
Posts
127
Reaction score
139
'number don't lie' ,
kuna ubishani wa muda muda mrefu baina ya diamond na ali kiba huku kila shabiki akivutia upande wake,
zifuatazo ni takwimu za ulinganifu baina ya alikiba na diamond
 
Attachments

Aiseee....mods may be waanze kudelete hizi nyuzi za Diamond na Kiba.....inachosha sana asee kukutana na hizi headings continuously mwezi mzima
 
Ali Kiba sio wa kumfananisha na Diamond. Ali Kiba afananishwe Dudu Baya a.k.a Mamba ndio size yake.
Ali Kiba hajitambui ndio maana kaenda kutia aibu Mombasa

Aaaaaaah kama naelew point yko ya mwendo kasiiiiiii
 
Nawaaminia sana Diamond Platnumz na Ali kiba kwa show nzuri sana wataiwakilisha vyema Tanzania na East Africa.

Sina shaka na tunzo kwa:
*Navy Kenzo
*Vanessa Mdee
*Diamond
*Sauti sol ft Ali kiba
*Rayvanny
 
Unatangaza blog yako sio vijana mnajua kutumia fursa
 
N
sipo upande wa kiba wala mondi,kama ulivosema no research....
ila najiuliza haya
i.new member hyo research iliyokula mda wako imekusaidia nini au ni hobby yako?

ii.umeonekana waz upo kwa mondi kumkandamiza huyo kiba ila umejiuliza simba ikifa yanga atacheza na nan ajaze watu uwanjan?

iii.je ww pia ni mmoja kati ya ile takwimu ya 4:1 maana akili yako inaonekana ni mgando?

iv.new members wote wana akil kama yako au ndo ugeni wa jf!!
NB:usinitukane mimi ni mpita njia tuu
Nadhani atakuwa amelithi, na ww ulivyokuwa new memba alikuwa na tabia kama hizo
 
New/ older member haionyeshi ukomavu na utimamu wako wa akili,
Coz ni mgeni huku jamii ila ni mwenyeji wako kwenye masuala ya burudani na mijadala
nimeandika hii thread kutokana wengi mmekuwa mkijaribu kuwachambua kwa mapenzi binafsi, ooh mi napenda sura, mara sauti, mwingine atakwambia anavyovaa mpaka anatoka na nani
Takwimu hazidanganyi na haziwi biased kama unazo nyingine unazohisi zingemfaa unayemshabikia zilete ila hizo sijaandika toka kichwani mwangu nimetoa huko......
 
Ali Kiba sio wa kumfananisha na Diamond. Ali Kiba afananishwe Dudu Baya a.k.a Mamba ndio size yake.
Ali Kiba hajitambui ndio maana kaenda kutia aibu Mombasa
Unampendelea bana,Ali Kiba size yake ni Babu ayubu,yule alieimba jipu la kwapa sijui limefanya nini
Watoto wameanza kazi juzi kina Rayvanny,wameshampita kama amesimama
 
Unampendelea bana,Ali Kiba size yake ni Babu ayubu,yule alieimba jipu la kwapa sijui limefanya nini
Watoto wameanza kazi juzi kina Rayvanny,wameshampita kama amesimama
Jamaa angekuwa anajua angeendelea kuimba kama alivyo imba ule wimbo na R Kelly
 
Jamaa angekuwa anajua angeendelea kuimba kama alivyo imba ule wimbo na R Kelly
SI eti aliamua kupumzika muziki?kurudi amekuta watu wamechukua nafasi,ndio tabu yote hii anaoipata mpaka kusingizia anarogwa
Katupiwa Harmonise na Rayvanny apambane nao anachimba chini
 
SI eti aliamua kupumzika muziki?kurudi amekuta watu wamechukua nafasi,ndio tabu yote hii anaoipata mpaka kusingizia anarogwa
Katupiwa Harmonise na Rayvanny apambane nao anachimba chini
Akajaribu kung'arisha nyota yake Pale Maryland Bar, Mwenge pana Fundi shoe shine mkali sana anaitwa Sele. Akikung'arishia kiatu chako kinakuwa kama kimewekewa kioo, nadhani hata nyota ya Ali Kiba ataimudu kuipiga msasa
 
Sele analalamika tangu MaryLand ifungwe wateja wake wengi wamepotea
 
'number don't lie' ,
kuna ubishani wa muda muda mrefu baina ya diamond na ali kiba huku kila shabiki akivutia upande wake,
zifuatazo ni takwimu za ulinganifu baina ya alikiba na diamond
Usimfananishe mondi na huyo katuni wa kuchora
 
Back
Top Bottom