Takwimu: Baleke vs Musonda

Upo serious kweli?
Mchezaji akiwa top scorer maanake hapo ni moja kwa moja ni biashara inafanyika sababu mchezaji kaishatengeneza profile yake hakuna cha kukopeshana hapo. Embu nipe mfano wa mchezaji wa ulaya ambaye alikuwa ni top scorer lakini timu yake ikaamua kwenye timu ndogo/ timu za chini kwa mkopo
 
Soma ulichokiandika halafu jisonye kwa ulichoandika. Top scorer wa Azam Federation cup huwa wanamuhesabia magoli tu aliyoyafunga kwa timu zilizopo ligi kuu?
Nimekujibu kama ulivyouliza..huu Uzi una taratibu zake..hatuhesabu magoli aliyofunga kwa timu inayoshiriki ligi chini ya Premier..yaani goli alilofunga kwa Rhino hatulihesabu..hata Baleke angefunga pia tusingehesabu.
Ok..tuache maneno mengi afunge basi hat trick yaishe.
 
Kwahiyo nawewe ukaona uchukue source ya muongo ili kuthibitisha kitu gani humu?
Kama hakuna trusted source inayoonesha kuwa Baleke alikuwa top scorer basi hauna haki ya kulisemea hilo kwasababu halithibitishiki kwenye vyanzo vya kueleweka
Well unaweza prove otherwise Mkuu.

Msimu 20/21.

1. Tutajie Top Scorer wako
Me: Baleke: 14 Goals
2. Mayele/Muleka: 11 goals.

HERE WE GO.
 
Mchezaji atoke ligi ya Congo akafanye trial Lebanon?
 
Well unaweza prove otherwise Mkuu.

Msimu 20/21.

1. Tutajie Top Scorer wako
Me: Baleke: 14 Goals
2. Mayele/Muleka: 11 goals.

HERE WE GO.
Lete link ya trusted source ili tukaone hiyo record
 
Mmekimbilia kwenye hat trick basi sawa mda utaongea
 
Usiwe mjinga wa hat trick, Nchimbi alisajiliwa Yanga kwa kufunga hat trick kikafuata nini? Mchezaji mzuri anapimwa kwa muendelelezo wake mzyri wa kiwango na ubora na sio kucheza mechi takribani tano na zaidi bila goli wala assist. Kumbe wewe ni limbukeni wa hat trick, hesabia magoli ya jumla na idadi ya Assist
 
Hapana Mkuu. Mambo hayapo hivyo.

I think unaangalia kwa jicho la usajili wa Tanzania, ambapo timu either ukiifunga mechi moja au ukionesha kiwango bora basi mchezaji anasajiliwa moja kwa moja. Wenzetu hawapo hivyo kabisa, wapo makini sana na sajili maana wanaamini Form is temporary, yaani unaweza otea mechi mbili ukakiwasha sana.

Twende kwenye mfano pale EPL katika Club pendwa zaidi duniani: Manchester United.

Wout Weghost: Huyu buana alikua ni mchezaji wa Burnley, ila katika World Cup 2022 jamaa alikiwasha sana pale Qatar, I think kila mtu aliona. Ila nikupe taarifa huyu buana pamoja na kuanza First XI yupo pale Man U kwa mkopo tu.

I think hapa umenielewa, wenzetu wapo makini sana katika usajili.

N.B. Naomba urudie kusoma sababu za kutoa mchezaji kwa mkopo katika reply iliyopita.
 
Umeelewa swali? Taja mchezaji aliyekuwa top scorer kwenye timu kubwa kisha hiyo timu kubwa ikaamua kumpeleka vitimu vidogo kwa mkopo.

Huo mfano wako haufanani kwasababu huyo mcheza katoka timu ndogo kaja timu kubwa kwa mkopo.
Na la pili hakuwa top scorer bali alikiwasha tu Qatar. Elewa swali
 
Reactions: BRN
Lete link ya trusted source ili tukaone hiyo record
Tunaishi katika jamii ambayo inaamini kila kilichoandikwa na blogger ni sahihi kumbe wengine tunatafuta riziki tu kupitia blogging, so kuna content nyingine zina maslahi yetu na nyingine pia zipo kutafuta engagement tu.

Anyways, Nimeeleza kuhusu ligi ya Congo na matumizi ya mitandao, Nimekuomba u-prove otherwise lakini hata hilo limeshindikana pia.
Asante shabiki wa Young Africans.
 
Reactions: BRN
amekwambia trusted source mbona ni simple mkuu usifanye mambo yawe mengi
 
Nikajua ile ni Typing error katika lile swali, Yaani unataka Mfano wa Top Scorer wa EPL atolewe kwa mkopo kwenda timu ndogo? 😂

Yaani Let's say Haaland(Soon to be EPL Top Scorer) atolewe kwa mkopo kwenda Burnley?

With all due respect Sir, I really hate to be rude lakini kwa swali hili kwangu ni "No Comment"

-Hivi akili zenu huwa mnapeleka wapi, Mkuu?
 
Kwanza nilikuwa nakupima uelewa wako na akili yako ilivyo katika upokeaji wa habari na namna unavyoweza kuifanyia upembuzi yakinifu kujua usahihi. Ulipo niletea source yako eti Privadinho umenifanya nijiulize mara mbili mbili uwezo wako wa kifikra. Halafu ukaja kumalizia eti ligi ya Congo hawaweki taarifa zao yaani mkuu kwenye ulimwengu wa sasa kweli ifikie hatua taarifa ya ligi ya Congo isiwe mtandaoni wakati ni miongoni mwa ligi naarufu Africa.

Hii nyundo ni kwa wenzio wote waliodanganyana eti Baleke alikuwa top scorer ligi ya Congo nyuma ya Mayele, utamdanganya mtu zama za kale huko ila sio kwenye huu ulimwengu wa sasa kila kitu kipo wazi.

Hapa nakuletea ripoti nzima ya ligi ya Congo msimu wa 2020/2021. Ni wapi kumeonesha kuwa top scorer ni Baleke? Mkamtafute aliyewaingiza kingi. Baleke ana goli moja tu



changaule hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa kaleta maneno ya shombo sana kwa mashabiki wa Yanga, kajifanya na akili kumbe ana akili ya kuvukia barabara. Hata majibu yake yanaonesha wazi kuwa anaakili ya kuvukia barabara tu. Hapo umewapiga makolo na kitu kizito kichwani.
 

Attachments

  • finish-him-fatality.gif
    41.7 KB · Views: 6
Asante Mkuu. Asante kwa kuleta evidence ya ligi ya Congo na matumizi ya savviness yao kidigitali.

Umesoma vizuri kuhusu hiyo report/stats Mkuu?

Umeona Top Scorer wa ligi?

Anyways umeona Takwimu za wafungaji kwenye ligi ya Congo?

Unajua ni kwanini mchezaji anayeonekana ana magoli mengi ni 3-4?
Unajua kwanini Baleke anaonekana ana goli moja?
Kupitia hizo stats tutajio Top Scorer wa msimu huo na idadi ya magoli yake.

N.B. Nimekuuliza maswali mengi yenye mfanano kukusaidia maybe kuna moja litakupa picha za huu ushaidi ulioleta.
-The absence of evidence is not the Evidence of Absence.
 
Jamaa kaleta maneno ya shombo sana kwa mashabiki wa Yanga, kajifanya na akili kumbe ana akili ya kuvukia barabara. Hata majibu yake yanaonesha wazi kuwa anaakili ya kuvukia barabara tu. Hapo umewapiga makolo na kitu kizito kichwani.
Well....Mr. Smart.
umefungua link na kusoma stats lakini?😂

Relax hii ni busy monday...usijisumbue kufungua link ni takwimu ambazo hazija kamilika, hazioneshi picha kamili ya msimu mzima wa ligi ya Congo.
 

1) bora ya mimi niliyeenda chimbo nikaenda kutafuta stats kuliko wewe unayekuja kuleta habari za Privadinho ina maana Dunia nzima mwenye ripoti ya top scorer wa ligi ya Congo ni Privadinho pekee yake halafu bado haayupo kwenye trusted source.

2) mchezaji mwenyewe magoli mengi ni 7 na wala sio 3-4 kama ulivyosema wewe
3) sijui kwanini Baleke anaonekana anagoli moja labda wewe ndio uniambie ni kwanini

4) mimi nimeleta statistics ambayo wewe kwa maelezo yako ulisema ligi ya Congo hawaweki taarifa muhimu ila hiyo takwimu imechambua hadi umri ya wachezaji walioshiriki ligi. Njoo na source yako ikionesha Baleke alikuwa ni top scorer.

Kama kutokuwepo kwa ushahidi, sio uthibitisho wa kutokuwepo je umejuaje kama kipo bila kuwepo kwa ushahidi au unatumia imagination?
 
Kwenye hiyo source niliyokupa pitia vizuri utaona top scorer ni mchezaji kutoka Motema Pembe aitwae Dark Kabangu akiwa na magoli 7

Labda unaweza ukawa unaona haiwezekani mchezaji kuwa Top scorer kwa magoli chini ya kumi, pengine umezoea kuona mchezaji ni top scorer ana magoli 10+ basi nakupa na hili:- msimu wa 2021/2022 top scorer wa ligi alikuwa ni mchezaji toka As Vita aitwae Makabi Lilepo na alikuwa na magoli tisa tu. Kama utataka source ya hili sema nikupe ukapitie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…