vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Upo serious kweli?Yes, kuna sababu nyingi za kumtoa mchezaji kwa mkopo mkuu.
So ukitoa zile sababu zilizo zoeleka kusema mchezaji ni surplus kwenye timu na hakuna timu inayotaka kumsajili au kumnunua or Mchezaji hapati nafasi katika timu ila bado mnaimani na uwezo wake(Young Players).
Basi kuna hii sababu inayofanywa na baadhi ya vilabu vikubwa Ulaya.
Badala ya kumnunua mchezaji hasa kutoka timu ndogo, huwa wana-opt kumchukua mchezaji kwa Mkopo kuona kama anaweza ku-contribute katika timu, lakini kukiwa na kipengele cha makubaliano kuwa kama ata-contribute basi atasajiliwa katika dirisha lijalo, kama atashindwa basi atarudi kwenye timu aliyotoka.
(Kwa taafsiri nyepesi, huwa inatumika kama njia ya majaribio kwa wachezaji katika timu kubwa, ili endapo ata-click awe qualified kucheza mechi za mashindano msimu huo).
So kupitia hii sababu, inawezekana pia Baleke kwa kuwa bado ni Kijana Mdogo sana hiyo Timu ya Lebanon pia ilitumia njia hiyo kuona kama anaweza click ili asajiliwe kwa dirisha lijalo. Food for thought.
Mchezaji akiwa top scorer maanake hapo ni moja kwa moja ni biashara inafanyika sababu mchezaji kaishatengeneza profile yake hakuna cha kukopeshana hapo. Embu nipe mfano wa mchezaji wa ulaya ambaye alikuwa ni top scorer lakini timu yake ikaamua kwenye timu ndogo/ timu za chini kwa mkopo