Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi niyo alicheza 11 ajibu vs kagera n 11Wanatumika kwenye nafasi zinazofanana?
Tathmini ya mechi moja...kwa mtazamo wangu; majukumu ya Ajibu Yanga na Niyonzima Simba, yanatofautiana kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya utumikaji wao.Juzi niyo alicheza 11 ajibu vs kagera n 11
Huyo Niyo ana assists ngapi? Ukiacha mambo ya magoli.Tathmini ya mechi moja...kwa mtazamo wangu; majukumu ya Ajibu Yanga na Niyonzima Simba, yanatofautiana kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya utumikaji wao.
Ajibu amekuwa akitumika sana kama striker lakini anaetokea pembeni(katika baadhi ya mechi) kwa maana ya kuidanganya timu pinzani huku role yake ikiwa ile ile ya striker kama anavyotumika Okwi. Wakati Niyonzima, ni dhahiri anatumika sana kama kiungo mshambuliaji.
Anyway, hongereni wanayanga kwa kumpata Ajibu,lakini usahihi wa kuwalinganisha kwa muktadha wa utumikaji wao siuoni.Labda kwa kigezo cha kuwa wamehama timu pinzani.
Hawachezi nafasi moja hivyo sio sawa kuwalinganisha![]()
Masahihisho kwenye idadi za michezo Niyonzima amecheza 5 na sio 4.
Wapenzi wa vpl usajili wa Niyo na Ajibu ndio ulikuwa gumzo msimu huu lakini inaonyesha mpaka sasa hivi ajibu anafanya vizuri zaidi.
50million dhidi ya 120M
![]()

Mwaka huu hatujaona mbwembwe zako kabisa au umehamia Jangwani kama Ajibu?Kwahiyo?
Hahahahahaaaaaaaaa
Mfannaishe okwi na Ajib mana ndo wancheza nafas sawa acha ushabiki maandazi![]()