Takwimu hizi zinatisha..!!

huko hata matumizi ya kondom ni kwa kuazimana, wenyewe wanaita kifanyio, akitumia huyu anafua then kesho anaazima mwingine, kwa style hii tutapona kweli?

pili hao wanafunzi wameshindwa kuwajua waliowapa mimba labda kutokana na kutowahi kufanya tendo lenyewe, kwani ndjia ya kupata mimba ni lazima iwe kwa kufanya ngono? je unajuaje kama wamepata hizo mimba kwa kuoga mtoni? mathalani kuna mto ambao upande unakotokea maji wanaoga wanaume then upande yanakoelekea maji wanaoga wasichana, unafikiri kama wanaume wakipiga puli je hawa wa huku chini si ni rahisi sana kupata mimba
 

...duuuh....aisee.......hizi story huwa nazisikia tu....wengine wanasema sharing of a towel might cause mimba.......
 

Hii si habari ya kufanyia mas'hara. Kila kitu kina sehemu yake. Hapa si penyewe.

Amandla........
 

OOooh another great sinker wa JF!
 
Kufunga mtu mwenye mimba tena mtoto hiyo si haki. Wangeweza kufungwa hata kifungo cha nje with conditions fulani fulani kuwabana. Kuwafunga kwenye jela zetu hizi ambazo hata watu wa kawaida tu si condusive si vizuri.

Hiyo takwimu kama ni kweli hilo ni balaa!!! Lakini inabidi kujua sample size. Mwandisi inabidi aongeze hilo kwenye taarifa yake. Najua hapa JF waandishi wengi wangewasiliana naye kutuwekea hii issue vizuri.
 


hahahaha ur so funny mazee.yaani hizo sperms zi survive adverse conditions zote za kwenye maji toka wanakopiga puli juu huko sijui distance gani then ziwakute hao kina dada tena wakiwa katika fertile days zao na kuwajaza mimba?what a lucky coincidence!
 
Mimi takwimu hizi sizishangai hata kidogo kwa sababu zifuatazo
-Watu wanaowarubuni wanafunzi mara nyingi ni walewale yaani mtu mmoja anaweza kuwa nao hata 10; hivyo kama ameathirika basi wengi atawaambukiza maana condom hazitumiki kabisa
-Watu hao mara nyingi hutumia fedha zao na kufanya maksudi kuwaambukiza ukimwi, utasikia kauli kama siwezi kufa peke yangu nk.Kumbuka kuwa mwanafunzi wa kike hana maamuzi juu ya kutumia au kutotumia condom mbele ya mtu mwenye pesa!
-Watu hawa wengi ni watu wazima ambao uwezekano wa kuwa wameshaathirika ni mkubwa, hivyo uwezekano wa kuwambukiza watoto ni mkubwa.

Utetezi kuwa waliopimwa ni high risk group si wa maana sana maana wanafunzi wa kike kwa sasa wote ni high risk group maana wanalengwa kwa maksudi na watu hawa.
Pia suala la kuwafundisha ngono tangu wakiwa wadogo halijasaidia kuwazuia kufanya ngono bali kuwaencourage - hasa wanapoambiwa kuwa kuna condom hivyo wasiwe na wasiwasi. Ni mwanafunzi gani atalala na mwanamume mwenye pesa zake mwaka mzima wanatumia condom? Labda kama mwanaume ndiye anaamua - nakuhakikishieni mwanaume akikataa condom mwanafunzi hawezi kukataa!

Katika kupiga vita suala hili kuna umuhimu wa kuangalia upya mitaala ya masomo kwa shule za msingi, maana kuna uhusiano wa karibu kati ya kuongezeka kwa mimba mashuleni na kufundishwa masuala ya ngono katika shule za msingi.
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…