Takwimu mbalimbali katika uteuzi wa Wakuu wa Wilaya wapya

Takwimu mbalimbali katika uteuzi wa Wakuu wa Wilaya wapya

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Jumla ya wakuu wa wilaya walioteuliwa na RAIS Samia ni 139:

11 ni Ph.D sawa na 8%

26 ni Masters sawa 19%

95 ni Bachelor Degrees sawa na 68%

3 ni Diploma sawa na 2%

4 ni ACSEE na CSEE sawa na 3%

95 Wanaume sawa na 68%

44 Wanawake sawa na 32%

Vijana wapo 28 sawa na 20%

Waliowahi kuwa wakuu wa wilaya wako 83.

Hivyo wapya katika uteuzi ni 56 (literally mean, walioachwa ni 56 (wale DCs wa zamani)

Katika kundi hilo la 'kuachwa' kuna watu kama Simon Ezekiel Odunga, Lengai Ole Sabaya, Richard Kasesela, Msafiri Mtemi na wenzao
 
Watakuja hapa Ufipa na kusema, 15 (sawa na asilimia 23.8) ni wanachama wa Chama cha Demoghasia, Domoghasia & Maombolezo.
 
Back
Top Bottom