Takwimu mbalimbali za soka la Ulaya wiki hii

Takwimu mbalimbali za soka la Ulaya wiki hii

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Takwimu za mshambuliaji Lamine Yamal wa Barcelona katika LaLiga, amecheza dakika 1,795, amefunga Magoli 5, ametoa asisti 11.

Liverpool ni timu ya kwanza ndani ya Miaka 90 kufunga magoli 2+ katika mechi 18 mfululizo za michuano yote, pia ndio timu ya kwanza kufikisha Magoli 101 ya michuano yote Msimu huu 2024/25.

Patrick Dorgu ndiye mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kupewa kadi nyekundu katika Premier League akiwa anaichezea Manchester United (Miaka 20 na Siku 123), amevunja rekodi ya Luke Shaw aliyoiweka Februari 2015 (Miaka 19 na Siku 211).

Timu ya Leicester City chini ya utawala wa Kocha Ruud van Nistelrooy imeshinda mchezo mmoja tu kati ya michezo 12 iliyopita katika Premier League, ushindi pekee ilikuwa dhidi ya Tottenham.

==== ===

Liverpool are the first side in 90 years to score 2+ goals in 18 consecutive top-flight home games across all competitions.

They've scored 101 goals home and away this season, at least 12 more than any other Premier League side, topped the UCL League phase, are in the EFL Cup final and are 13 points clear at the top of the Premier League table.



In the Premier League this season, Bruno Fernandes has... Created at least 20 more chances than any other Manchester United player, created at least seven more big chances than any of his teammates and provided the most assists for his side. He's the only Manchester United player to have more than 70 penalty area entries with 229, won the second most duels for his side (126), and also leads the way for touches (1,995), fouls won (31), possessions won (140) and goal involvements (13). Oh and seven of his last eight goals across all comps have put Man Utd in the lead or been the equaliser.

Liverpool are the first side in 90 years to score 2+ goals in 18 consecutive top-flight home games across all competitions. They've scored 101 goals home and away this season, at least 12 more than any other Premier League side, topped the UCL League phase, are in the EFL Cup final and are 13 points clear at the top of the Premier League table.

Patrick Dorgu is the youngest player to be sent off in a Premier League game for Manchester United (20 years, 123 days) since Luke Shaw in February 2015 (19 years, 211 days).

Ruud van Nistelrooy and Leicester have just one win in their last 12 Premier League games, and it came against Tottenham.

Source: Squawka
 
Kumbe kwa wazungu mwenye umri wa miaka 20 ni mdogo kuliko wa miaka 19!?. Mbona ni tabu juu ya shida
Apo kaniacha chalinze asee
Ameongeza chumvi ya tafsiri na hatimaye akajipiga chenga mwenyewe.

mchezaji aliye chini ya miaka 23 anahesabika kuwa ni mdogo, hapo aliposema ni mdogo zaidi haliyakuwa yupo mwenye miaka 19 ndio amekosea.
 
Back
Top Bottom