Takwimu Peter Shalulile Vs FK Mayele

Takwimu Peter Shalulile Vs FK Mayele

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
Mayele Vs Peter Shalulile Stats .

Dstv PL

🇳🇦 Peter Shalulie mabao 12

NBC PL

🇨🇩Fiston Mayele mabao 16

🇳🇦Shalulile CCL mabao 5

🇨🇩Fiston Mayele CAFCC mabao 6

So far Hawa ndio washambuliaji hatari kusini mwa jangwa la Sahara.

IMG_20230519_173312.jpg

IMG_20230519_173322.jpg
 
Mayele Vs Peter Shalulile Stats .

Dstv PL

[emoji1176] Peter Shalulie mabao 12

NBC PL

[emoji1078]Fiston Mayele mabao 16

[emoji1176]Shalulile CCL mabao 5

[emoji1078]Fiston Mayele CAFCC mabao 6

So far Hawa ndio washambuliaji hatari kusini mwa jangwa la Sahara.

View attachment 2627780

View attachment 2627781
Utaambiwa MAYELE ligi zote mbili anazoshiriki ni ligi za LOSERS magoli yake hayana uzito ni sawa na mpira wa kurusha tu kwa magoli yanayofungwa kwenye ligi anazoshiriki Shalulile.
 
Nachoshukuru ni kwamba bongo mpira umekua

Umepiga hatua haswa
Mm siwezi kuamini kuwa mpila wetu umekuwa mpaka pale timu zetu zitakapo kuwa na uwezo wa kuzitoa timu vigogo barani Afrika na sio hizi zilizo shiriki kwenye hayo mashindano kibahati bahati.

Ukweli ambao wengi hawataki kuusikia ni kuwa licha ya Yanga kuwa na timu nzuri lakini hakuondoi ukweli kuwa Yanga katika mashindano haya wametembelea bahati zaidi kuliko uwezo wa timu kutokana na aina ya timu walizo kutana nazo.
 
Ulitaka Yanga angekutana na nani ili uridhike kuwa haikuwa bahati.
Usitutajie timu baadae tukijakutana nayo useme hiyo imeshuka viwango.
Maana MAZEMBE imeshuka viwango, Monastir imeshuka viwango , Rivers kabla ya kumkanda ilikuwa timu nzuri isiyofungika kwao, lakini baadae ikawa timu mbovu halkadhalika kwa Marumo na Club AFRICAIN ubovu unakuja ghafla baada ya kufungwa na Yanga tu.
Oo huyu bado mbichi hajaguswa nyumbani, wanaume wa Jangwani wanaenda kuharibu huko huko ukweni.
 
Umenitolea povu la bure tu ungesoma ukanielewa.
Kusema Yanga ametembelea bahati sikumaanisha kuwa Yanga ni timu mbovu hapana nimesema imetembelea bahati kwa sababu ya aina ya timu ilizo kutana nazo ni timu nyepesi sana utake usitake ila huo ndo ukweli.
Timu zote alizo kutana nazo Yanga tangu mwanzo wa mashindano haya ya shirikisho mpaka sasa hakuna timu hata moja ambayo ingeweza kumfunga Simba pamoja na kwamba timu yao ni ya kuunga unga.

Mfano leo hii Waydad nusu fainal ambayo anacheza na mamirod iwapo angekuwa anacheza na Vaipas lazima angejiona ana bahati kwa sababu angekuwa na asilimia 95 ya kwenda fainal tofauti na sasa ambapo ana aslimia 30 tu ya kwenda fainal.
 
Ulitaka Yanga akutane na timu zipi ili uamini kuwa wameshinda kwa uwezo wao na sio ngekewa. Kubali Yanga amejipanga na generally mpira wa TZ umekua.
 
Umenitolea povu la bure tu ungesoma ukanielewa.
Kusema Yanga ametembelea bahati sikumaanisha kuwa Yanga ni timu mbovu hapana nimesema imetembelea bahati kwa sababu ya aina ya timu ilizo kutana nazo ni timu nyepesi sana utake usitake ila huo ndo ukweli.
Timu zote alizo kutana nazo Yanga tangu mwanzo wa mashindano haya ya shirikisho mpaka sasa hakuna timu hata moja ambayo ingeweza kumfunga Simba pamoja na kwamba timu yao ni ya kuunga unga.

Mfano leo hii Waydad nusu fainal ambayo anacheza na mamirod iwapo angekuwa anacheza na Vaipas lazima angejiona ana bahati kwa sababu angekuwa na asilimia 95 ya kwenda fainal tofauti na sasa ambapo ana aslimia 30 tu ya kwenda fainal.
Kama kumfunga Simba ndio kipimo cha ubora Azam FC Raja Casablanca aliwagonga nje ndani yupo wapi?
 
Umenitolea povu la bure tu ungesoma ukanielewa.
Kusema Yanga ametembelea bahati sikumaanisha kuwa Yanga ni timu mbovu hapana nimesema imetembelea bahati kwa sababu ya aina ya timu ilizo kutana nazo ni timu nyepesi sana utake usitake ila huo ndo ukweli.
Timu zote alizo kutana nazo Yanga tangu mwanzo wa mashindano haya ya shirikisho mpaka sasa hakuna timu hata moja ambayo ingeweza kumfunga Simba pamoja na kwamba timu yao ni ya kuunga unga.

Mfano leo hii Waydad nusu fainal ambayo anacheza na mamirod iwapo angekuwa anacheza na Vaipas lazima angejiona ana bahati kwa sababu angekuwa na asilimia 95 ya kwenda fainal tofauti na sasa ambapo ana aslimia 30 tu ya kwenda fainal.
Ni kosa la nani Yanga kucheza na vibonde!?
 
Ulitaka Yanga angekutana na nani ili uridhike kuwa haikuwa bahati.
Usitutajie timu baadae tukijakutana nayo useme hiyo imeshuka viwango.
Maana MAZEMBE imeshuka viwango, Monastir imeshuka viwango , Rivers kabla ya kumkanda ilikuwa timu nzuri isiyofungika kwao, lakini baadae ikawa timu mbovu halkadhalika kwa Marumo na Club AFRICAIN ubovu unakuja ghafla baada ya kufungwa na Yanga tu.
Oo huyu bado mbichi hajaguswa nyumbani, wanaume wa Jangwani wanaenda kuharibu huko huko ukweni.
Mi nilitaka yanga akutane na Al hilal ya Sudan ndio niamini yanga noma kwa kumtoa huyo msudani
 
Mm siwezi kuamini kuwa mpila wetu umekuwa mpaka pale timu zetu zitakapo kuwa na uwezo wa kuzitoa timu vigogo barani Afrika na sio hizi zilizo shiriki kwenye hayo mashindano kibahati bahati.

Ukweli ambao wengi hawataki kuusikia ni kuwa licha ya Yanga kuwa na timu nzuri lakini hakuondoi ukweli kuwa Yanga katika mashindano haya wametembelea bahati zaidi kuliko uwezo wa timu kutokana na aina ya timu walizo kutana nazo.
Sawa dunduka unaumia ukiwa wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mm siwezi kuamini kuwa mpila wetu umekuwa mpaka pale timu zetu zitakapo kuwa na uwezo wa kuzitoa timu vigogo barani Afrika na sio hizi zilizo shiriki kwenye hayo mashindano kibahati bahati.

Ukweli ambao wengi hawataki kuusikia ni kuwa licha ya Yanga kuwa na timu nzuri lakini hakuondoi ukweli kuwa Yanga katika mashindano haya wametembelea bahati zaidi kuliko uwezo wa timu kutokana na aina ya timu walizo kutana nazo.
Tp mazembe sio kigogo wa africa?
 
Mi nataka yanga akutane na Al hilal ndio niamini
Naona umetutajia timu moja tu ya AL HILAL, wakati Yanga kabla ya kufika finali, alicheza NUSU FAINALI, na kabla ya NUSU FAINALI alicheza " KOMBE LA MADUNDUKA" na kabla ya "KOMBE LA MADUNDUKA" alicheza GROUP STAGE.
Inamaana hapa kwenye GROUP STATE mechi zote sita (6) angepangiwa acheze na AL HILAL tu au mimi ndio sijaelewa?
 
Naona umetutajia timu moja tu ya AL HILAL, wakati Yanga kabla ya kufoka finali, alicheza NUSU FAINALI, na kabla ya NUSU FAINALI alicheza " KOMBE LA MADUNDUKA" na kabla ya "KOMBE LA MADUNDUKA" alicheza GROUP STAGE.
Inamaana hapa kwenye GROUP STATE mechi zote sita (6) angepangiwa acheze na AL HILAL tu au mimi ndio sijaelewa?
Midunduka c ni mbumbumbu achana nao hawajielewi
 
Back
Top Bottom