Hakuna sehemu nipiyo sema haijajipanga.
Yanga alitolewa hatua za awali kwenye kilabu bingwa kwasababu hakupata bahati ya kukutana na timu kaliba ya akina Marumo .
Kupitia hoja yako, tukisema Simba alienda group stage kwasababu alipewa team type ya marumo ndomana akafuzu itakuwa ni sahihi?? Hoja zako ulizotoa hapa zote hazina mashiko
Ili ucheze confederation cup ni either ulikuwa bingwa kwenye Ligi yako ukaenda CL then ukadrop ukaenda CC, au ulikuwa nafasi ya pili kwenye league yako au ulikuwa bingwa wa kombe la FA ya kwenu na ili hayo yote yatokee lazima uwe bora so huwezi kusema Yanga hajakutana na team Bora
Us monastir anatokea Tunisia na alifanya vizuri Sana kwenye Ligi Yao yenye teams kama Es Tunis, Etoil Du Sahil, African tena league Yao ipo juu ya Ligi ya Tz
Tp Mazembe alikuwa bingwa wa league Yao ya Congo last season, Kwa mujibu wa CAF Ligi ya Congo ilikuwa no 5, ya Tz no 6 kabla Young Africans hajaingia final na huyu Mazembe ni Giant wa soka la Africa nyuma ya Ahly
Real Bamako, club African, wote walifanya vizuri kwenye league zao the same Kwa Rivers Utd ambae kabla hajakutana na Young Africans alikuwa hajapoteza game ya kimataifa pale kwao, hata Wydad alikufa bao 2 pale
Marumo gallants alicheza final ya FA kwao, mbele ya giants kama Kaizer chiefs na Orlando pirates, nadhani utakubaliana na mm kwamba ili uweze kuwa outshine hao ma giants wa south lazima uwe bora
So hoja yangu ni kwamba Young Africans haijatembelea bahati bali ni uwezo na ubora wa kikosi Chao, kuanzia management, benchi la ufundi na players wote Kwa ujumla na wamejitoa kweli kweli
Ukisema ni bahati means team yao ni mbovu tu sasa swali la kujiuliza ni hili, inakuwaje team ambayo mnaona ni bora iruhusu Young Africans ambayo ni ya kawaida tu ibebe ubingwa mbele Yao???
Ifike mahali tukubali tu kuwa kwenye football hakuna janja janja bali ni uwekezaji na usimamizi imara wa uwekezaji wako
Kila la heri Young Africans, The real dreamer, dreams about the impossible
Outcrop Rock
Mwamba kipara