MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Utaambiwa MAYELE ligi zote mbili anazoshiriki ni ligi za LOSERS magoli yake hayana uzito ni sawa na mpira wa kurusha tu kwa magoli yanayofungwa kwenye ligi anazoshiriki Shalulile.Mayele Vs Peter Shalulile Stats .
Dstv PL
[emoji1176] Peter Shalulie mabao 12
NBC PL
[emoji1078]Fiston Mayele mabao 16
[emoji1176]Shalulile CCL mabao 5
[emoji1078]Fiston Mayele CAFCC mabao 6
So far Hawa ndio washambuliaji hatari kusini mwa jangwa la Sahara.
View attachment 2627780
View attachment 2627781
Mm siwezi kuamini kuwa mpila wetu umekuwa mpaka pale timu zetu zitakapo kuwa na uwezo wa kuzitoa timu vigogo barani Afrika na sio hizi zilizo shiriki kwenye hayo mashindano kibahati bahati.Nachoshukuru ni kwamba bongo mpira umekua
Umepiga hatua haswa
Ulitaka Yanga angekutana na nani ili uridhike kuwa haikuwa bahati.Mm siwezi kuamini kuwa mpila wetu umekuwa mpaka pale timu zetu zitakapo kuwa na uwezo wa kuzitoa timu vigogo barani Afrika na sio hizi zilizo shiriki kwenye hayo mashindano kibahati bahati.
Ukweli ambao wengi hawataki kuusikia ni kuwa licha ya Yanga kuwa na timu nzuri lakini hakuondoi ukweli kuwa Yanga katika mashindano haya wametembelea bahati zaidi kuliko uwezo wa timu kutokana na aina ya timu walizo kutana nazo.
Umenitolea povu la bure tu ungesoma ukanielewa.Ulitaka Yanga angekutana na nani ili uridhike kuwa haikuwa bahati.
Usitutajie timu baadae tukijakutana nayo useme hiyo imeshuka viwango.
Maana MAZEMBE imeshuka viwango, Monastir imeshuka viwango , Rivers kabla ya kumkanda ilikuwa timu nzuri isiyofungika kwao, lakini baadae ikawa timu mbovu halkadhalika kwa Marumo na Club AFRICAIN ubovu unakuja ghafla baada ya kufungwa na Yanga tu.
Oo huyu bado mbichi hajaguswa nyumbani, wanaume wa Jangwani wanaenda kuharibu huko huko ukweni.
Ulitaka Yanga akutane na timu zipi ili uamini kuwa wameshinda kwa uwezo wao na sio ngekewa. Kubali Yanga amejipanga na generally mpira wa TZ umekua.Mm siwezi kuamini kuwa mpila wetu umekuwa mpaka pale timu zetu zitakapo kuwa na uwezo wa kuzitoa timu vigogo barani Afrika na sio hizi zilizo shiriki kwenye hayo mashindano kibahati bahati.
Ukweli ambao wengi hawataki kuusikia ni kuwa licha ya Yanga kuwa na timu nzuri lakini hakuondoi ukweli kuwa Yanga katika mashindano haya wametembelea bahati zaidi kuliko uwezo wa timu kutokana na aina ya timu walizo kutana nazo.
Shalulile [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kama kumfunga Simba ndio kipimo cha ubora Azam FC Raja Casablanca aliwagonga nje ndani yupo wapi?Umenitolea povu la bure tu ungesoma ukanielewa.
Kusema Yanga ametembelea bahati sikumaanisha kuwa Yanga ni timu mbovu hapana nimesema imetembelea bahati kwa sababu ya aina ya timu ilizo kutana nazo ni timu nyepesi sana utake usitake ila huo ndo ukweli.
Timu zote alizo kutana nazo Yanga tangu mwanzo wa mashindano haya ya shirikisho mpaka sasa hakuna timu hata moja ambayo ingeweza kumfunga Simba pamoja na kwamba timu yao ni ya kuunga unga.
Mfano leo hii Waydad nusu fainal ambayo anacheza na mamirod iwapo angekuwa anacheza na Vaipas lazima angejiona ana bahati kwa sababu angekuwa na asilimia 95 ya kwenda fainal tofauti na sasa ambapo ana aslimia 30 tu ya kwenda fainal.
Ni kosa la nani Yanga kucheza na vibonde!?Umenitolea povu la bure tu ungesoma ukanielewa.
Kusema Yanga ametembelea bahati sikumaanisha kuwa Yanga ni timu mbovu hapana nimesema imetembelea bahati kwa sababu ya aina ya timu ilizo kutana nazo ni timu nyepesi sana utake usitake ila huo ndo ukweli.
Timu zote alizo kutana nazo Yanga tangu mwanzo wa mashindano haya ya shirikisho mpaka sasa hakuna timu hata moja ambayo ingeweza kumfunga Simba pamoja na kwamba timu yao ni ya kuunga unga.
Mfano leo hii Waydad nusu fainal ambayo anacheza na mamirod iwapo angekuwa anacheza na Vaipas lazima angejiona ana bahati kwa sababu angekuwa na asilimia 95 ya kwenda fainal tofauti na sasa ambapo ana aslimia 30 tu ya kwenda fainal.
Akikujibu ntag mkuuUlitaka Yanga akutane na timu zipi ili uamini kuwa wameshinda kwa uwezo wao na sio ngekewa. Kubali Yanga amejipanga na generally mpira wa TZ umekua.
Mi nilitaka yanga akutane na Al hilal ya Sudan ndio niamini yanga noma kwa kumtoa huyo msudaniUlitaka Yanga angekutana na nani ili uridhike kuwa haikuwa bahati.
Usitutajie timu baadae tukijakutana nayo useme hiyo imeshuka viwango.
Maana MAZEMBE imeshuka viwango, Monastir imeshuka viwango , Rivers kabla ya kumkanda ilikuwa timu nzuri isiyofungika kwao, lakini baadae ikawa timu mbovu halkadhalika kwa Marumo na Club AFRICAIN ubovu unakuja ghafla baada ya kufungwa na Yanga tu.
Oo huyu bado mbichi hajaguswa nyumbani, wanaume wa Jangwani wanaenda kuharibu huko huko ukweni.
Mi nataka yanga akutane na Al hilal ndio niaminiUlitaka Yanga akutane na timu zipi ili uamini kuwa wameshinda kwa uwezo wao na sio ngekewa. Kubali Yanga amejipanga na generally mpira wa TZ umekua.
Sawa dunduka unaumia ukiwa wapi [emoji23][emoji23][emoji23]Mm siwezi kuamini kuwa mpila wetu umekuwa mpaka pale timu zetu zitakapo kuwa na uwezo wa kuzitoa timu vigogo barani Afrika na sio hizi zilizo shiriki kwenye hayo mashindano kibahati bahati.
Ukweli ambao wengi hawataki kuusikia ni kuwa licha ya Yanga kuwa na timu nzuri lakini hakuondoi ukweli kuwa Yanga katika mashindano haya wametembelea bahati zaidi kuliko uwezo wa timu kutokana na aina ya timu walizo kutana nazo.
Mwaka wa pili huu madunduka mnatoka tupu bila chochote mnajizimia data Kwa kichaga champions league badilikeni kenge wahedUNAFANANISHA CHAMPIONS LEAGUE NA MA LOOSER?????????????
ACHA KUFANANISHA KIFO NA USINGIZI.
Tp mazembe sio kigogo wa africa?Mm siwezi kuamini kuwa mpila wetu umekuwa mpaka pale timu zetu zitakapo kuwa na uwezo wa kuzitoa timu vigogo barani Afrika na sio hizi zilizo shiriki kwenye hayo mashindano kibahati bahati.
Ukweli ambao wengi hawataki kuusikia ni kuwa licha ya Yanga kuwa na timu nzuri lakini hakuondoi ukweli kuwa Yanga katika mashindano haya wametembelea bahati zaidi kuliko uwezo wa timu kutokana na aina ya timu walizo kutana nazo.
Naona umetutajia timu moja tu ya AL HILAL, wakati Yanga kabla ya kufika finali, alicheza NUSU FAINALI, na kabla ya NUSU FAINALI alicheza " KOMBE LA MADUNDUKA" na kabla ya "KOMBE LA MADUNDUKA" alicheza GROUP STAGE.Mi nataka yanga akutane na Al hilal ndio niamini
Midunduka c ni mbumbumbu achana nao hawajielewiNaona umetutajia timu moja tu ya AL HILAL, wakati Yanga kabla ya kufoka finali, alicheza NUSU FAINALI, na kabla ya NUSU FAINALI alicheza " KOMBE LA MADUNDUKA" na kabla ya "KOMBE LA MADUNDUKA" alicheza GROUP STAGE.
Inamaana hapa kwenye GROUP STATE mechi zote sita (6) angepangiwa acheze na AL HILAL tu au mimi ndio sijaelewa?