#COVID19 TAKWIMU: Vifo vya COVID-19 Tanzania vyafikia 714 hadi Septemba 20, 2021

#COVID19 TAKWIMU: Vifo vya COVID-19 Tanzania vyafikia 714 hadi Septemba 20, 2021

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Wizara ya Afya imetangaza vifo vilivyotokana na janga la Corona vimefikia 714 huku maambukizi yakiwa 25,674 tangu kuripotiwa kwa ugonjwa huo hadi kufikia Septemba 20

Watu 4,355 wamelazwa huku 80 kati yao wakiwa ICU. Watumishi wa Afya walioripotiwa kuwa na maambukizi ni 3,276

Muitikio wa kupata chanjo umetajwa kuwa changamoto, ambapo hadi sasa ni watu 357,585 ndio waliopata chanjo

4B3308F9-9742-4F41-A669-746AF7E5D6EA.jpeg
 
Attachments

Kama hali tete hivi mbona mikusanyiko inapeta tu, njaa mbaya sana.
Hapo kwenye mikusanyiko ndipo kuna shida kubwa na hiyo shida ukihifahamu hupati tashwishi, hii ndiyo dunia 😁
 
Kama hali tete hivi mbona mikusanyiko inapeta tu, njaa mbaya sana.
Kila siku almost watu 72 wanaambukizwa VVU je umewahi ona danguro,bar au club zimefungwa ili kupunguza ngono zembe?
Hta kansa kwa mwaka watu elfu 50 wanaugua..... But watu wangapi wanaishi healthy kuepuka kansa?

Uzembe hauwezi justify uwepo au kutokuwepo kwa Covid 19!!
 
Corona inaweza kuwa ipo lakini si kwa data hizo za kupikwa!
Wapike kwa faida gani wakati itakimbiza watalii? Watu elfu 24 kuugua na zaidi ya watu elfu 20 kati yao kupona kabisa huoni ni jambo la kheri?

Kma hoja ni hela? Madhara ya Covid 19 kiuchumi yanakupata hta kma hauna wagonjwa so bado misaada ukiomba utapewa tu.

Kma wamepika then sio ni kwa faida gani hasa coz ina madhara kuliko faida
 
Mmetoa takwimu mnataka Mkopo Mwingine.
UN mmesema Corona ni changamoto mnaitaji msaada wa kusaidiwa ?
 
Jamani tusijipe umuhimu tusiokuwa nao, sasa mtu kama wew hata usipochanja dunia au serikali itapoteza nini, kumbuka hata kuandika tu hujui, anyway siungi mkono chanjo lakini pia tusijipe umuhimu tusiokuwa nao. Nakushauri jiunge ccm mkuu. They really need people like you. Utani lakini isipanic
 
Hahahahahaha.......Eti ajiunge CCM
 
Back
Top Bottom