Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Mkuu, watalii na mikopo, wachague watalii? Nchi yenye corona na magaidi, watalii watafuata nini?Wapike kwa faida gani wakati itakimbiza watalii? Watu elfu 24 kuugua na zaidi ya watu elfu 20 kati yao kupona kabisa huoni ni jambo la kheri?
Kma hoja ni hela? Madhara ya Covid 19 kiuchumi yanakupata hta kma hauna wagonjwa so bado misaada ukiomba utapewa tu.
Kma wamepika then sio ni kwa faida gani hasa coz ina madhara kuliko faida
714, kweli kabisa mkuu? Ni sawa na 0.00119% ya waTz wote.
25,000 + , kabisaa? = 0.043% ya watu wote hapa Tz.
Namba hizo kwa takribani miaka mitatu yaani?
Ebu watupe listi ya magonjwa yanayoua zaidi hapa TZ kwa mwaka na idadi ya wanaokufa, angalau magonjwa 10 hatari zaidi.
Tulisubiri kuona watu watakavyodondoka kwa idadi ya kutisha kama walivyosema baada ya ile Kili Marathon, ikawa kimya, tukaambiwa game za Simba na Yanga, subiri matokeo, zimepigwa game 3 zilizojaza full full, kimya! Ina maana huu ugonjwa hauambukizi? Watu 25,000 kwa vifo 714 tu?