Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hayo maabukizi yaliongezeka linimaambukizi yakiwa 25,674 tangu kuripotiwa kwa ugonjwa huo
Hapo kwenye mikusanyiko ndipo kuna shida kubwa na hiyo shida ukihifahamu hupati tashwishi, hii ndiyo dunia 😁Kama hali tete hivi mbona mikusanyiko inapeta tu, njaa mbaya sana.
Kila siku almost watu 72 wanaambukizwa VVU je umewahi ona danguro,bar au club zimefungwa ili kupunguza ngono zembe?Kama hali tete hivi mbona mikusanyiko inapeta tu, njaa mbaya sana.
Wapike kwa faida gani wakati itakimbiza watalii? Watu elfu 24 kuugua na zaidi ya watu elfu 20 kati yao kupona kabisa huoni ni jambo la kheri?Corona inaweza kuwa ipo lakini si kwa data hizo za kupikwa!
Hata mimi nilikua nasemaga tu,juzi kati baada ya kuchapika na covid nimeacha ushabikiKama hali tete hivi mbona mikusanyiko inapeta tu, njaa mbaya sana.
Hahahahahaha.......Eti ajiunge CCMJamani tusijipe umuhimu tusiokuwa nao, sasa mtu kama wew hata usipochanja dunia au serikali itapoteza nini, kumbuka hata kuandika tu hujui, anyway siungi mkono chanjo lakini pia tusijipe umuhimu tusiokuwa nao. Nakushauri jiunge ccm mkuu. They really need people like you. Utani lakini isipanic
Si mlitaka takwimu Sasa takwimu ndo hizo.Corona inaweza kuwa ipo lakini si kwa data hizo za kupikwa!