#COVID19 Takwimu: Watu 9 kati ya 10 wanaofariki kwa COVID-19 UK na Canada wamechanjwa tena zaidi ya mara moja

#COVID19 Takwimu: Watu 9 kati ya 10 wanaofariki kwa COVID-19 UK na Canada wamechanjwa tena zaidi ya mara moja

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Kuna watu watapinga na wengine watageuza huu "ukweli mchungu "kuwa 'politiksi'.

Ila uzuri ni kwamba sayansi siyo siasa: sayansi ni "fact" based on "interpretation of data collected".

IMG_20220714_120650.jpeg
IMG_20220714_120416.jpeg
IMG_20220714_120529.jpeg
 
kwa hiyo wasiochanjwa wameweza stahimili zaidi ama walichukua tahadhari zilizotolewa (kunawa mikono, sanitize, distance, more fruits less bia etc?).
 
Wasiochanja ;
Hawapo kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi mapya

Hawapo kwenye hatari ya kupata madhara yatokanayo na chanjo.

Hawapo kwenye hatari kubwa ya kufa na COVID 19.
kwa hiyo wasiochanjwa wameweza stahimili zaidi ama walichukua tahadhari zilizotolewa (kunawa mikono, sanitize, distance, more fruits less bia etc?).
 
Kiongozi hamna dawa ambayo Haina side effect Duniani,iwe ARV,iwe nin side effect zipo tu.na sio kwamb wat wote ambao wapo vaccineted na chanjo ya COVID-19 watapata izo side effect
 
Back
Top Bottom