#COVID19 Takwimu: Watu 9 kati ya 10 wanaofariki kwa COVID-19 UK na Canada wamechanjwa tena zaidi ya mara moja

#COVID19 Takwimu: Watu 9 kati ya 10 wanaofariki kwa COVID-19 UK na Canada wamechanjwa tena zaidi ya mara moja

Kiongozi hamna dawa ambayo Haina side effect Duniani,iwe ARV,iwe nin side effect zipo tu.na sio kwamb wat wote ambao wapo vaccineted na chanjo ya COVID-19 watapata izo side effect
Tatizo ni 9/10 hivyo kwa haraka ukichanja tunakuwa na uhakika wa kufa kwa 90% na usipochanjwa unakuwa na uhakika wa kufa kwa 10%
 
Kuna watu watapinga na wengine watageuza huu "ukweli mchungu "kuwa 'politiksi'.

Ila uzuri ni kwamba sayansi siyo siasa: sayansi ni "fact" based on "interpretation of data collected".

View attachment 2290083View attachment 2290087View attachment 2290091
Wajinga tu ndio watakao endelea kuamini kwamba kuna kitu kinaitwa Covid.Ukweli ni kwamba Covid ilikuwa scapegoat ya kuleta Covid-19 vaccines,ili NWO waweze kutekeleza agenda yao ovu ya ku-exterminate 7billion plus humans by 2030.Hii sio siri.Soma attached Agenda 2030 for Sustainable development.
 
Attachments

Hakuna ugonjwa wa Covid mkuu,ni utapeli.Kinachowaua watu ni hizo zinazoitwa Chanjo za Covid mkuu.Covid ni utapeli wa kimataifa na a crime against humanity.Humanity has never seen such a Covert Grand Genecidal Plan,it is an illusion beyond imagination.
 
Back
Top Bottom