kwa hiyo wasiochanjwa wameweza stahimili zaidi ama walichukua tahadhari zilizotolewa (kunawa mikono, sanitize, distance, more fruits less bia etc?).
Habari zimfikie mjambiani mpumbavuKuna watu watapinga na wengine watageuza huu "ukweli mchungu "kuwa 'politiksi'.
Ila uzuri ni kwamba sayansi siyo siasa: sayansi ni "fact" based on "interpretation of data collected".
View attachment 2290083View attachment 2290087View attachment 2290091
Mjambiani ndio nanii!!!?au ndio huyo hapo mbele kiti cha kwanza kabisa! ama sijaelewaHabari zimfikie mjambiani mpumbavu