Takwimu za Allan okello vs Fei Toto zinaleta sintofahamu

Takwimu za Allan okello vs Fei Toto zinaleta sintofahamu

BA AURA

Member
Joined
Jun 10, 2026
Posts
18
Reaction score
72
Fei Toto ameanza mwanzoni mwa msimu wa ligi Ila Allan okello ameanza katikati ya ligi but ana magoli 14 huku Toto akiwa na magoli 15 kwa mifano hai Nani bora kati ya hao
 
Taifa lina mambo mengi yakujadili asa usalama wa wanaochi,uhulu wa maoni na free lisu ayo za fei na okelo peleka kwenye alkasus mkajadili na wazee wenzio
 
Taifa lina mambo mengi yakujadili asa usalama wa wanaochi,uhulu wa maoni na free lisu ayo za fei na okelo peleka kwenye alkasus mkajadili na wazee wenzio
Jamiiforum ina majukwaa mengi kaka,si kila muda tutajadili siasa kajikite huko Kwa akina Katambi na Heche mki oppose na kupropose ishu za 7 July,si kila mtu ajadili unayoyapenda.

Uzi kama hauna maana kwako pita kimyakimya.

Mimi kama mpendamichezo, Alan Okello ni best player Than Feisal
 
Fei Toto ameanza mwanzoni mwa msimu wa ligi Ila Allan okello ameanza katikati ya ligi but ana magoli 14 huku Toto akiwa na magoli 15 kwa mifano hai Nani bora kati ya hao
Fei toto kacheza mechi 26 na Okello 23 tofauti ya mechi 3 pekee.
 
Wampe Feisal anamajukumu mengi sana uwanjani kuliko Okello na yote anayatimiza, kuanzia kukaba,kuchezasha timu,assists na kufunga. Okello mzuri kukaba sio mzuri hata kuchezasha timu amezidiwa na Feisal.
 
Fei Toto ameanza mwanzoni mwa msimu wa ligi Ila Allan okello ameanza katikati ya ligi but ana magoli 14 huku Toto akiwa na magoli 15 kwa mifano hai Nani bora kati ya hao
Hakuna sintofahamu yoyote hapo
 
Unanikumbusha Uzi wa Mwamba
OKWI BOBAN SUNZU.

Takwimu za Mayele na Kibu D zinatia uchungu.
 
Feisal ni Mchezaji Bora Tanzania.
Ndio mchezaji Bora kwa Wazawa na wakigeni.

Hao akina Okelo wanamambo mengi nyuma ya Pazia....
Yanga anajua kucheza sana na Uhalisia.
 
Dogo kama umekosa cha kujadili ukapumuzike sasa.
 
Feisal ni Mchezaji Bora Tanzania.
Ndio mchezaji Bora kwa Wazawa na wakigeni.

Hao akina Okelo wanamambo mengi nyuma ya Pazia....
Yanga anajua kucheza sana na Uhalisia.
Mkuu siku izi unafatilia sola la bongo?si ulisema umestaafu..
 
Back
Top Bottom