Jamiiforum ina majukwaa mengi kaka,si kila muda tutajadili siasa kajikite huko Kwa akina Katambi na Heche mki oppose na kupropose ishu za 7 July,si kila mtu ajadili unayoyapenda.Taifa lina mambo mengi yakujadili asa usalama wa wanaochi,uhulu wa maoni na free lisu ayo za fei na okelo peleka kwenye alkasus mkajadili na wazee wenzio
Fei toto kacheza mechi 26 na Okello 23 tofauti ya mechi 3 pekee.Fei Toto ameanza mwanzoni mwa msimu wa ligi Ila Allan okello ameanza katikati ya ligi but ana magoli 14 huku Toto akiwa na magoli 15 kwa mifano hai Nani bora kati ya hao
Hakuna sintofahamu yoyote hapoFei Toto ameanza mwanzoni mwa msimu wa ligi Ila Allan okello ameanza katikati ya ligi but ana magoli 14 huku Toto akiwa na magoli 15 kwa mifano hai Nani bora kati ya hao
Mkuu siku izi unafatilia sola la bongo?si ulisema umestaafu..Feisal ni Mchezaji Bora Tanzania.
Ndio mchezaji Bora kwa Wazawa na wakigeni.
Hao akina Okelo wanamambo mengi nyuma ya Pazia....
Yanga anajua kucheza sana na Uhalisia.