Takwimu za Aziz Ki msimu huu

Kusahau kupo ngoja nikukumbushe Kabla hujaenda mbali nenda kaangalie lile goli alilofunga okrah juzi kwenye derby na goli alilofunga sakho kwenye derby na goli la chama dhidi ya nkana red devil angalia zile asist na goli zilivyopigwa kiufundi ukimaliza rudi hapa tuendelee na mada.
 
Ww hivi unamjua chama kweli uliwahi kucheza nae uwanjani...mm nilimkaba nikaumbuka ....huyo aziza atasubili sana kwa huyu mwamba...mbingu na ardhi

We ni nani mkuu[emoji18][emoji18][emoji18][emoji23]au nanii???
 
ubora ww mchezaj haupimwi kwa match mbili au moja kuna kitu kwenye soccer kinaitwa upepo wa msimu.

mchezaj anapimwa ubora wake kwa statistics za mjumuisho mwish wa msimu sio kwenye mechi 2 au 5
 
Chama alishindwa kucheza Morocco kwa Berkane ina maana mpira wake ni wa kawaida sana.
 
Chama ni balaaa anajua mpira yy kazi yake sio kufunga yy anafuma mpira uende ukafungwe na still ni best player of all times atafunga ikiwa anaona inampasa kufanya hivyo. So usimlinganishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…