Takwimu za Aziz Ki msimu huu

Takwimu za Aziz Ki msimu huu

Kusahau kupo ngoja nikukumbushe Kabla hujaenda mbali nenda kaangalie lile goli alilofunga okrah juzi kwenye derby na goli alilofunga sakho kwenye derby na goli la chama dhidi ya nkana red devil angalia zile asist na goli zilivyopigwa kiufundi ukimaliza rudi hapa tuendelee na mada.
 
Ww hivi unamjua chama kweli uliwahi kucheza nae uwanjani...mm nilimkaba nikaumbuka ....huyo aziza atasubili sana kwa huyu mwamba...mbingu na ardhi

We ni nani mkuu[emoji18][emoji18][emoji18][emoji23]au nanii???
 
Ana bao 4 na 'assist' 3, halafu ukiangalia kwa jicho la tatu msimu ndiyo kwanza unaanza. Tuliposema Aziz Ki ni bora kuliko Chama watu walibisha sasa, mpira ni takwimu.

Na takwimu za Azizi Ki ndiyo hizi, jamaa siyo kwamba tu anafunga na kutoa 'assist' ila anafunga na kutoa 'assist' kwenye mchezo muhimu.

Tuendelee kutunza takwimu mwisho wa msimu tutajua nani bora kati ya Aziz ki na Chama.

Mpira ni Takwimu!
ubora ww mchezaj haupimwi kwa match mbili au moja kuna kitu kwenye soccer kinaitwa upepo wa msimu.

mchezaj anapimwa ubora wake kwa statistics za mjumuisho mwish wa msimu sio kwenye mechi 2 au 5
 
Chama alishindwa kucheza Morocco kwa Berkane ina maana mpira wake ni wa kawaida sana.
 
Chama ni balaaa anajua mpira yy kazi yake sio kufunga yy anafuma mpira uende ukafungwe na still ni best player of all times atafunga ikiwa anaona inampasa kufanya hivyo. So usimlinganishe
 
Back
Top Bottom