Takwimu za Inonga vs Ibrahim Baka zinashtua

Escotter20

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2020
Posts
505
Reaction score
960
... Tangu Bacca aanze kucheza kwenye kikosi cha Yanga kwenye michuano ya CAFCC, Yanga hawajaruhusu bao !! πŸ™Œ

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga 2 - 0 Bamako πŸ‡²πŸ‡±
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga 2 - 0 Monastir πŸ‡ΉπŸ‡³
πŸ‡¨πŸ‡© TP Mazembe 0 - 1 Yanga πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
πŸ‡³πŸ‡¬ Rivers 0 - 2 Yanga πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga 0 - 0 Rivers πŸ‡³πŸ‡¬
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga 2 - 0 Marumo πŸ‡ΏπŸ‡¦

06 - Games
06 - Cleansheets πŸ”’

Β» Yanga imekuwa klabu ya kwanza kwenye mashindano ya CAF 2022/23 kutoruhusu bao kwenye michezo (6) mfululizo πŸ“Œ

NB ; Kuanzia group stage mpaka sasa Yanga wameruhusu mabao (4) tu, na mabao yote walifungwa Bacca akiwa benchi !!!

πŸ‡ΉπŸ‡³ US Monastir 2 - 0 Yanga πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga 3 - 1 TP Mazembe
πŸ‡²πŸ‡± Bamako 1 - 1 Yanga πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

NB ; Bonge moja la defender πŸ”₯πŸ”₯

#timuyawananchi
#yangayangudaima
#pageniyakomwananchi
 
Itoshe tu kusema


HUNA AKILI.
 
Bacca ni bonge la beki nchni
 
Hivi kwenye ile 2-0 ya simba vs yanga kibu anapiga muwa wa hatari bacca alikuwa bench?
 
Hivi kwenye ile 2-0 ya simba vs yanga kibu anapiga muwa wa hatari bacca alikuwa bench?
Ndiyo alikuwa benchi. Na kati ya kosa kubwa liliyofanywa na kocha wa Yanga siku hiyo ya mechi, lilikuwa ni hili la kumuacha nje Ibrahimu Bacca.

Huyu mchezaji anajituma sana uwanjani. Na amekuwa akiwafichia mabeki wenzake makosa mengi kwa ku clear mipira ya hatari kupitia zile tackling.
 
Kiukweli Bacca ni beki kitasa hasa na hiyo ni hazina ya taifa ,lakini kumlinganisha na Inonga sio sawa, kwa sababu Bacca mabeki anao cheza nao hawana makosa mengi kama mabeki anao cheza nao Inonga.

Mfano mwamnyeto amekuwa akifanya makosa lakini makosa yake hayafikii hata robo ya makosa yanayo fanywa na Onyango.

Ukijaribu kuangalia mechi za Simba hasa kwenye klabu bingwa asilimia 95 ya magoli aliyo fungwa Simba yamesababishwa na Onyango kiufupi Onyango ni kirusi ndani ya simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…