Takwimu za Inonga vs Ibrahim Baka zinashtua

Takwimu za Inonga vs Ibrahim Baka zinashtua

Shirikisho la waliofeli vs caf klabu bingwa timu zenye ushawishi Afrika na duniani
Nguvu moja
Mbona mshindi wa cafcc anapamba na mshindi wa caf champions league kupata mshindi wa super cup ?
Waambie caf kuwa cafcc ni kombe la walioshindwa ili wastopishe Mechi za super cup
 
... Tangu Bacca aanze kucheza kwenye kikosi cha Yanga kwenye michuano ya CAFCC, Yanga hawajaruhusu bao !! [emoji119]

[emoji1241] Yanga 2 - 0 Bamako [emoji1159]
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Monastir [emoji1249]
[emoji1078] TP Mazembe 0 - 1 Yanga [emoji1241]
[emoji1184] Rivers 0 - 2 Yanga [emoji1241]
[emoji1241] Yanga 0 - 0 Rivers [emoji1184]
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Marumo [emoji1221]

06 - Games
06 - Cleansheets [emoji357]

» Yanga imekuwa klabu ya kwanza kwenye mashindano ya CAF 2022/23 kutoruhusu bao kwenye michezo (6) mfululizo [emoji419]

NB ; Kuanzia group stage mpaka sasa Yanga wameruhusu mabao (4) tu, na mabao yote walifungwa Bacca akiwa benchi !!!

[emoji1249] US Monastir 2 - 0 Yanga [emoji1241]
[emoji1241] Yanga 3 - 1 TP Mazembe
[emoji1159] Bamako 1 - 1 Yanga [emoji1241]

NB ; Bonge moja la defender [emoji91][emoji91]

#timuyawananchi
#yangayangudaima
#pageniyakomwananchi
Wanomiliki akili ni hao [emoji111]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom