... Tangu Bacca aanze kucheza kwenye kikosi cha Yanga kwenye michuano ya CAFCC, Yanga hawajaruhusu bao !! [emoji119]
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Bamako [emoji1159]
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Monastir [emoji1249]
[emoji1078] TP Mazembe 0 - 1 Yanga [emoji1241]
[emoji1184] Rivers 0 - 2 Yanga [emoji1241]
[emoji1241] Yanga 0 - 0 Rivers [emoji1184]
[emoji1241] Yanga 2 - 0 Marumo [emoji1221]
06 - Games
06 - Cleansheets [emoji357]
» Yanga imekuwa klabu ya kwanza kwenye mashindano ya CAF 2022/23 kutoruhusu bao kwenye michezo (6) mfululizo [emoji419]
NB ; Kuanzia group stage mpaka sasa Yanga wameruhusu mabao (4) tu, na mabao yote walifungwa Bacca akiwa benchi !!!
[emoji1249] US Monastir 2 - 0 Yanga [emoji1241]
[emoji1241] Yanga 3 - 1 TP Mazembe
[emoji1159] Bamako 1 - 1 Yanga [emoji1241]
NB ; Bonge moja la defender [emoji91][emoji91]
#timuyawananchi
#yangayangudaima
#pageniyakomwananchi