Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20211226_152811115308.jpg


umefika wakati maji yameanza kujitenga na mafuta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unapotoa takwimu unaweza kuonekana upo sahihi, ninaamini ukimwambia mwalimu wa simba pale yanga anamtamani mchezaji gani naamini hakosi kumtaja Mayele, na inawezekana mwalimu wa yanga asimtamani Kibu Denis.
 
Unapotoa takwimu unaweza kuonekana upo sahihi, ninaamini ukimwambia mwalimu wa simba pale yanga anamtamani mchezaji gani naamini hakosi kumtaja Mayele, na inawezekana mwalimu wa yanga asimtamani Kibu Denis.

Kulinganisha mayele na kibu ni ku kosea mayele adabu
Kibu bado saana mayele bado mgeni kwenye league wewe subiri league raundi ya pili
 
Kwa hiyo kufunga goli ukiwa mgeni ni "vigumu mno"?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Anashindwa Messi .hazard na wengine wengi yeye nani asishindwe kila kitu ni uzoefu
 
Na tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa

Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.

Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki

Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
 
Back
Top Bottom