Takwimu za kocha Gamondi akiwa Yanga hadi sasa

vibertz

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
2,474
Reaction score
4,726
Hizi ni takwimu katika mashindano rasmi tokea akabidhiwe timu ya Yanga msimu wa 2023/2024 ndani ya dakika 90 (Ngao ya jamii, klabu bingwa, ligi kuu na kombe la FA)

Michezo ya ngao ya jamii ni 4: kushinda 3 sare 1 kufungwa 0

Michezo ya klabu bingwa ni 16: kushinda 10 sare 4 kufungwa. 2

Federation cup michezo 4: kushinda 2. sare 2 kufungwa 0

Ligi kuu: michezo 36: kushinda 32 sare 2 kufungwa 2

Jumla michezo 60

Jumla kushinda 47

Jumla sare 9

Jumla kufungwa 4

Jumla ya magoli ya kufunga: 130

Jumla ya magoli ya kufungwa: 22

Update baada ya mchezo wa leo wa Oct 26
Mechi 61, ushindi 48, sare 9 kufungwa 4
Magoli kufunga 131
Kufungwa 22

Mechi dhidi ya Singida big star inaifanya Yanga kucheza mchezo wa 62 na ushindi wa 49 kwao huku wakiongeza magoli na kufikia 132
 
Muonekano wake na mambo yake, haviendani kabisa! Hakika Yanga wanajua kuchagua makocha wazuri.

Na pia ikikupendeza, utuwekekee takwimu za idadi ya makocha waliofukuzwa kwenye timu pinzani (walau zile 3 za juu) tangu Miguel Gamondi atue Yanga mpaka sasa.
 
Hizi ni takwimu katika mashindano rasmi tokea akabidhiwe timu ya Yanga msimu wa 2023/2024 ndani ya dakika 90 (Ngao ya jamii, klabu bingwa, ligi kuu na kombe la FA)

Michezo ya ngao ya jamii ni 4: kushinda 3 sare 1 kufungwa 0

Michezo ya klabu bingwa ni 16: kushinda 10 sare 4 kufungwa. 2

Federation cup michezo 4: kushinda 2. sare 2 kufungwa 0

Ligi kuu: michezo 36: kushinda 32 sare 2 kufungwa 2

Jumla michezo 60

Jumla kushinda 47

Jumla sare 9

Jumla kufungwa 4

Jumla ya magoli ya kufunga: 130

Jumla ya magoli ya kufungwa: 22
Tusaidie kupata na ya mtangulizi wa Gamo di,Nabi. Kwa ulinganisho wa ufanisi.
 
Sasa nyie Yanga misifa imezidi; yaani kila sa mnataka kutotoa roho sisi nduze zenu wa damu yaani Simba? Mona miaka ile mlitukoa tuitelemke daraj, sasa huu ubaya ubwera umawafanya msitukumbuke tena? Ni utani tu; ila msitutie kwenye ugonjwa wa moyo.
 
Tusaidie kupata na ya mtangulizi wa Gamo di,Nabi. Kwa ulinganisho wa ufanisi.
Mkuu hata wewe unaruhusiwa kuweka za Nabi, mimi nimeleta takwimu za Gamondi kama Gamondi wala sikumlinganisha na mtu. Ngoja wadau wengine walete za Nabi au hata wewe mkuu tupe
 
Hizi ni takwimu katika mashindano rasmi tokea akabidhiwe timu ya Yanga msimu wa 2023/2024 ndani ya dakika 90 (Ngao ya jamii, klabu bingwa, ligi kuu na kombe la FA)

Michezo ya ngao ya jamii ni 4: kushinda 3 sare 1 kufungwa 0

Michezo ya klabu bingwa ni 16: kushinda 10 sare 4 kufungwa. 2

Federation cup michezo 4: kushinda 2. sare 2 kufungwa 0

Ligi kuu: michezo 36: kushinda 32 sare 2 kufungwa 2

Jumla michezo 60

Jumla kushinda 47

Jumla sare 9

Jumla kufungwa 4

Jumla ya magoli ya kufunga: 130

Jumla ya magoli ya kufungwa: 22
Watasema bahasha zimetembea.
 
Tusaidie kupata na ya mtangulizi wa Gamo di,Nabi. Kwa ulinganisho wa ufanisi.
Utafanyaje ulinganifu hapo wakati kuna vitu vingi vinapishana? Mfano aina ya wapinzani pia Nabi anaifundisha Yanga kwa misimu miwili.
 
Tulinganishe wakati akiwa na wananchi
 
Mbona hujamuweka kayoko hapo mkuu na kule tanga ilikuwa uzinduzi wa condom au.
 
Nitawaweka kama utanionesha msaada wao katika mechi ya klabu bingwa kwenye ushindi wa goli 4 dhidi ya Belouizdad
Hao mawaziri msimu uliopita ilikuwa wanatoa ahadi ya hela team ikiifunga simba na yule mdogo wake GSM ila yanga.
 
Back
Top Bottom