Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa kisha wakaingia wao kucheza badala ya wachezaji kisha mawaziri wakawabamiza goli tano na kumfukuza Mr.unbeaten Robertinho.Hao mawaziri msimu uliopita ilikuwa wanatoa ahadi ya hela team ikiifunga simba na yule mdogo wake GSM ila yanga.
Acha matusi dogo acha mihemko kama huwezi kuchangia bila kumtukana au kumkejeli mtu acha shobo na wanaume utakatikia mnazi.Wewe mbumbumbu uwende shule ujifunze kusoma na kuelewa kilichoandikwa. Umeambiwa ndani ya dakika 90, je mechi ya Tanga iliishaje ndani ya dakika 90?
Kwavile umezoea wewe kukatika unadhani wote wako kama wewe? Wewe endelea kukatikia huo mnazi. Kama mbumbumbu ni tusi basi hilo tusi mlipewa na Rage kutokana na kuonesha umbumbumbuAcha matusi dogo acha mihemko kama huwezi kuchangia bila kumtukana au kumkejeli mtu acha shobo na wanaume utakatikia mnazi.
MtaalamuHizi ni takwimu katika mashindano rasmi tokea akabidhiwe timu ya Yanga msimu wa 2023/2024 ndani ya dakika 90 (Ngao ya jamii, klabu bingwa, ligi kuu na kombe la FA)
Michezo ya ngao ya jamii ni 4: kushinda 3 sare 1 kufungwa 0
Michezo ya klabu bingwa ni 16: kushinda 10 sare 4 kufungwa. 2
Federation cup michezo 4: kushinda 2. sare 2 kufungwa 0
Ligi kuu: michezo 36: kushinda 32 sare 2 kufungwa 2
Jumla michezo 60
Jumla kushinda 47
Jumla sare 9
Jumla kufungwa 4
Jumla ya magoli ya kufunga: 130
Jumla ya magoli ya kufungwa: 22
Update baada ya mchezo wa leo wa Oct 26
Mechi 61, ushindi 48, sare 9 kufungwa 4
Magoli kufunga 131
Kufungwa 22
Imekuaje sasaNachompendea uyu master ni jinsi anavyowaponda makolo.. yaani kati ya vitu hawatamani kuviskia ni huyu mzee kuendelea kuwa kocha wa Yanga