sawa wazee tumewasikia...Weka na mawaziri 6 hapo
Tusaidie kupata na ya mtangulizi wa Gamo di,Nabi. Kwa ulinganisho wa ufanisi.Hizi ni takwimu katika mashindano rasmi tokea akabidhiwe timu ya Yanga msimu wa 2023/2024 ndani ya dakika 90 (Ngao ya jamii, klabu bingwa, ligi kuu na kombe la FA)
Michezo ya ngao ya jamii ni 4: kushinda 3 sare 1 kufungwa 0
Michezo ya klabu bingwa ni 16: kushinda 10 sare 4 kufungwa. 2
Federation cup michezo 4: kushinda 2. sare 2 kufungwa 0
Ligi kuu: michezo 36: kushinda 32 sare 2 kufungwa 2
Jumla michezo 60
Jumla kushinda 47
Jumla sare 9
Jumla kufungwa 4
Jumla ya magoli ya kufunga: 130
Jumla ya magoli ya kufungwa: 22
Wanavaa jezi namba ngapi?Weka na mawaziri 6 hapo
Sasa nyie Yanga misifa imezidi; yaani kila sa mnataka kutotoa roho sisi nduze zenu wa damu yaani Simba? Mona miaka ile mlitukoa tuitelemke daraj, sasa huu ubaya ubwera umawafanya msitukumbuke tena? Ni utani tu; ila msitutie kwenye ugonjwa wa moyo.Hizi ni takwimu katika mashindano rasmi tokea akabidhiwe timu ya Yanga msimu wa 2023/2024 ndani ya dakika 90 (Ngao ya jamii, klabu bingwa, ligi kuu na kombe la FA)
Michezo ya ngao ya jamii ni 4: kushinda 3 sare 1 kufungwa 0
Michezo ya klabu bingwa ni 16: kushinda 10 sare 4 kufungwa. 2
Federation cup michezo 4: kushinda 2. sare 2 kufungwa 0
Ligi kuu: michezo 36: kushinda 32 sare 2 kufungwa 2
Jumla michezo 60
Jumla kushinda 47
Jumla sare 9
Jumla kufungwa 4
Jumla ya magoli ya kufunga: 130
Jumla ya magoli ya kufungwa: 22
Mkuu hata wewe unaruhusiwa kuweka za Nabi, mimi nimeleta takwimu za Gamondi kama Gamondi wala sikumlinganisha na mtu. Ngoja wadau wengine walete za Nabi au hata wewe mkuu tupeTusaidie kupata na ya mtangulizi wa Gamo di,Nabi. Kwa ulinganisho wa ufanisi.
Watasema bahasha zimetembea.Hizi ni takwimu katika mashindano rasmi tokea akabidhiwe timu ya Yanga msimu wa 2023/2024 ndani ya dakika 90 (Ngao ya jamii, klabu bingwa, ligi kuu na kombe la FA)
Michezo ya ngao ya jamii ni 4: kushinda 3 sare 1 kufungwa 0
Michezo ya klabu bingwa ni 16: kushinda 10 sare 4 kufungwa. 2
Federation cup michezo 4: kushinda 2. sare 2 kufungwa 0
Ligi kuu: michezo 36: kushinda 32 sare 2 kufungwa 2
Jumla michezo 60
Jumla kushinda 47
Jumla sare 9
Jumla kufungwa 4
Jumla ya magoli ya kufunga: 130
Jumla ya magoli ya kufungwa: 22
Utafanyaje ulinganifu hapo wakati kuna vitu vingi vinapishana? Mfano aina ya wapinzani pia Nabi anaifundisha Yanga kwa misimu miwili.Tusaidie kupata na ya mtangulizi wa Gamo di,Nabi. Kwa ulinganisho wa ufanisi.
Tulinganishe wakati akiwa na wananchiUtafanyaje ulinganifu hapo wakati kuna vitu vingi vinapishana? Mfano aina ya wapinzani pia Nabi anaifundisha Yanga kwa misimu miwili.
Unalinganishaje kocha aliyecheza dhidi ya akina Rivers united dhidi ya kocha aliyecheza dhidi ya akina Al Ahly?Tulinganishe wakati akiwa na wananchi
Afu we ulimponda Gamond wakati anakujaWanavaa jezi namba ngap
Hao mawaziri msimu uliopita ilikuwa wanatoa ahadi ya hela team ikiifunga simba na yule mdogo wake GSM ila yanga.Nitawaweka kama utanionesha msaada wao katika mechi ya klabu bingwa kwenye ushindi wa goli 4 dhidi ya Belouizdad