Takwimu za kocha Gamondi akiwa Yanga hadi sasa

Mbona hujamuweka kayoko hapo mkuu na kule tanga ilikuwa uzinduzi wa condom au.
Wewe mbumbumbu uwende shule ujifunze kusoma na kuelewa kilichoandikwa. Umeambiwa ndani ya dakika 90, je mechi ya Tanga iliishaje ndani ya dakika 90?
 
Hao mawaziri msimu uliopita ilikuwa wanatoa ahadi ya hela team ikiifunga simba na yule mdogo wake GSM ila yanga.
Sawa kabisa kisha wakaingia wao kucheza badala ya wachezaji kisha mawaziri wakawabamiza goli tano na kumfukuza Mr.unbeaten Robertinho.
 
Wewe mbumbumbu uwende shule ujifunze kusoma na kuelewa kilichoandikwa. Umeambiwa ndani ya dakika 90, je mechi ya Tanga iliishaje ndani ya dakika 90?
Acha matusi dogo acha mihemko kama huwezi kuchangia bila kumtukana au kumkejeli mtu acha shobo na wanaume utakatikia mnazi.
 
Acha matusi dogo acha mihemko kama huwezi kuchangia bila kumtukana au kumkejeli mtu acha shobo na wanaume utakatikia mnazi.
Kwavile umezoea wewe kukatika unadhani wote wako kama wewe? Wewe endelea kukatikia huo mnazi. Kama mbumbumbu ni tusi basi hilo tusi mlipewa na Rage kutokana na kuonesha umbumbumbu
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
 
Mtaalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…