#COVID19 Takwimu za maambukizi ya CoronaVirus kuanza kutolewa kila wiki

#COVID19 Takwimu za maambukizi ya CoronaVirus kuanza kutolewa kila wiki

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Dk. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya amesema "Nizungmzie Chanjo ya UVIKO 19 ambapo mpaka sasa jumla ya wananchi 638,000 wameshapatiwa Chanjo ya Johnson-Johnson na Ijumaa wiki hii tunapokea Chanjo nyingine maana za awali zitakuwa zimeisha na idadi ya vituo nayo imeongezwa kutoka 550-6,000 "

=====================

The government said yesterday that Covid-19 statistics will be made public on a weekly basis, and urged the public to adhere to the recommended prevention methods against the coronavirus.

Tanzania submitted the latest report to the World Health Organisation (WHO) on January 3, 2021 at 6:36pm indicating there were 25,846 confirmed cases of Covid-19 and 719 deaths.

The Minister of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Dr Dorothy Gwajima, told journalists in Dar es Salaam that the weekly release of statistics is a confirmation that Covid-19 is still a public health threat in the country.

Since June this year, Tanzania has been under pressure to publish data on the spread of coronavirus as a condition for approval of a $574 million emergency loan from the International Monetary Fund (IMF).

The Citizen
 
Tanzania ni kituko sana....watu wametoka huko sisi ndio tunaenda....naanza kuamini ushirikina upo...si bure
 
Kaza kaza uzi mabeberu wapendwa, CCM inyooke, Jiwe anyooke huko aliko
 
Tanzania ina wenyewe bwana 😊😊

Dictator uchwara alipewa kupiga honi yeye akataka kuendesha kabisa
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema kuanzia sasa wizara yake itakuwa inatoa takwimu zinazohusu Covid 19 kila wiki ili watanzania wawe na taarifa sahihi na rasmi.

Source: Swahili times!

6DD1EA64-0CB8-428B-98CE-3BFAC848C4B9.jpeg
 
Na elimu ya chanjo iendelee kutolewa ili kuziba mwanya kwa wapotoshaji wanaotumia uelewa mdogo wa walio wengi kuhusu chanjo kufundisha uongo.

Elimu itolewe mtu aamue kuchanja ama kutochanja baada ya kuelewa.
 
Huku sio kukumbuka shuka wakati kumekucha bali wakati umeshaamka, machana umewadia na jua limeshatoka...
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema kuanzia sasa wizara yake itakuwa inatoa takwimu zinazohusu Covid 19 kila wiki ili watanzania wawe na taarifa sahihi na rasmi.

Source: Swahili times!
Nafurahi sana ninavyo ona watu wanayatupa na kuyazika makatazo ya jiwe.
 
Wanatoa takwimu ili kuonesha wanaowapa vijisenti kwamba wanatii masharti yao. Nimeelewa kwanini mwanamke yupo radhi kutoa tigo kwaajili ya Iphone. Ndio ya Tanzania,corona na mabeberu.
 
Bwahahahahaaaa.......eti takwimu zinazohusu covid-19 kila wiki, kwa hiyo hayo ndo matumizi ya matrilioni yaliyotolewa na beberu kama mkopo? wasiwasi wangu msije kutuuza beberu atakapokuja kudai thamani ya matrillioni yake.....
 
Wataanza kuitafisha lumumba kwanza
 
Wanatoa takwimu ili kuonesha wanaowapa vijisenti kwamba wanatii masharti yao. Nimeelewa kwanini mwanamke yupo radhi kutoa tigo kwaajili ya Iphone. Ndio ya Tanzania,corona na mabeberu.
Kwan waziri wetu wa hazina wa Sasa yeye anasemaje!
 
Back
Top Bottom