Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,210
- 5,752
Jambo hili aliwahi kulikataa mh. Nchemba. Viongozi waache kubambikia watu kesi watu wasio na hatia.Timu gaidi wanasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo hili aliwahi kulikataa mh. Nchemba. Viongozi waache kubambikia watu kesi watu wasio na hatia.Timu gaidi wanasemaje?
Na wiki ya nyungu itakuwepo?Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema kuanzia sasa wizara yake itakuwa inatoa takwimu zinazohusu Covid 19 kila wiki ili watanzania wawe na taarifa sahihi na rasmi.
Source: Swahili times!
Wale Jamaa Wanaona Aibu Sana SanaNa wiki ya nyungu itakuwepo?
Ndiyo HayoNdiyo masharti ya ule mkopo
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amesema kuanzia sasa wizara yake itakuwa inatoa takwimu zinazohusu Covid 19 kila wiki ili watanzania wawe na taarifa sahihi na rasmi.
Source: Swahili times!
Hamza alikuwa ndiye mwalimu wako hapo uvccm
Labda kama ulimaanisha Gwajiboy lakini kama ni huyu:
View attachment 1965934
Mwizi 2 ishakatika?
#COVID19 - Waziri Gwajima, takwimu za Covid-19 mnaandaa au mnapika?