Hiyo mzee alibebwa na mafundi???Mayele akienda simba na Phiri kwenda yanga, Phiri ataibuka kidedea tu na Mayele atafuatia.
Mayele anabebwa na mafundi hatari huko but Phiri mara nyingi anajihangaikia mwenyewe tu.
Pia alipiga brace ya wafu simbaYaani na hat-trick za wafu wa zalani kutoka sudani kusini ambako hakuna uwanja hata mmoja wa nyasi nazo mnahesabu!! Ama kweli wenye akili huko usukuleni ni wawili tu.View attachment 2362916View attachment 2362917
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ana hattrick 2 za CAFMayele ana nini cha ajabu?
Hiyo ni ajabu?Ana hattrick 2 za CAF
Kama sio ajabu nionyeshe mchezaji wa timu yako mwenye hattrick tangu muanze kushiriki hayo mashindano. kutokuvaa logo haiondoi kuwa yale sio mashindano ya CAFHiyo ni ajabu?
CAF aliyonayo yeye?
Uliona hata team zimevaa logo ya CAF mabegani?
Ana magoli 11 na 2 hat tricksMayele ana nini cha ajabu?
kama Kibu dennisHiyo ni ajabu?
CAF aliyonayo yeye?
Uliona hata team zimevaa logo ya CAF mabegani?
Mashindano ya CAF hajaanza 😂😂Kama sio ajabu nionyeshe mchezaji wa timu yako mwenye hattrick tangu muanze kushiriki hayo mashindano. kutokuvaa logo haiondoi kuwa yale sio mashindano ya CAF
Sasa Kwan kukiwa hakuna logo ya caf ndio inakua Nini..Kwaiyo sio mashindano ya klabu bingwa?Hiyo ni ajabu?
CAF aliyonayo yeye?
Uliona hata team zimevaa logo ya CAF mabegani?
Hatua ya awali.....Sasa Kwan kukiwa hakuna logo ya caf ndio inakua Nini..Kwaiyo sio mashindano ya klabu bingwa?
Unamwitaje binadamu aliye hai mfu? kuwa na hofu ya Mungu, ina maana nyie Simba mnapofungwa na Yanga na nyie ni wafu siyo?Yaani na hat-trick za wafu wa zalani kutoka sudani kusini ambako hakuna uwanja hata mmoja wa nyasi nazo mnahesabu!! Ama kweli wenye akili huko usukuleni ni wawili tu.View attachment 2362916View attachment 2362917
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mkuu, sikumaanisha kuwa kila goli analofunga linatokana na kubebwa but mara nyingi huwa juhudi za wenzake kumpasia na zake mwenyewe kama mfungaji. Kwa Phiri hutokea mara chache kupata pasi za kumalizia kutokana na ubinafsi wa baadhi ya wenzake pamoja na u butu wao wa kutengeneza nafasi (ukilinganisha na wataalam wa Yanga) hivyo humfanya Phiri kutumia akili zaidi, nguvu na uwezo wake binafsi kushughulika mwenyewe na kupenya.Hiyo mzee alibebwa na mafundi???View attachment 2363193
Mayele alikusanya Kijiji cha Wana kolo[emoji23][emoji23]Hiyo mzee alibebwa na mafundi???View attachment 2363193