Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaaMkuu angalia usije kuumbuka kama yule Okwi Boban Sunzu na nyuzi zake za namna hii maana mpira unakuwaga na matokeo ya kikatili sana na yasiyotegemewa..
Tutakuja fukua huu uzi....
Utopolo watabishaPhiri ni mkali tukitumia takwimu, ligi kacheza mechi chache ana goli 10 mayele kacheza mechi nyingi goli 16
Ukienda kwa takwimu utakuta phili yupo juu ya mayele ila ukienda kwa ushabiki ndio utaona tofauti,Amefanya vitu gan vikubwa...
SAMALEKO OSTADHITunasama Phili anapiga kwenye vital signs ila mayele ni kubwa jinga hua anavurugu nyingi ila mwisho mwamsim wanaume wanabeba kiatu huku yeye akiambulia mifungo
Takwimu ni za hadi muda huu. Siyo sijazo..!!Mkuu angalia usije kuumbuka kama yule Okwi Boban Sunzu na nyuzi zake za namna hii maana mpira unakuwaga na matokeo ya kikatili sana na yasiyotegemewa..
Tutakuja fukua huu uzi....
twende Kwa factUkienda kwa takwimu utakuta phili yupo juu ya mayele ila ukienda kwa ushabiki ndio utaona tofauti,
Angalia Moses kacheza mechi ngapi na kafunga goli ngapi kisha angalia hivyohivyo kwa mayele utapata jibu...
Kwamba hao uliowataja wana zaidi ya 16?Yani huyu manyele wenu mpk leo ana goli 16 tuu..lol..yani hajamfika kwa ufungaji..Bocco,kagere na,wengine kibao huko nyuma
hoja yako ilihusu takwimu kama ungeleta mada nani kaifikisha wapi timu nungejibu kutokana na ulivyouliza ndio maana kwenye mitihani wanakwambia usome instruction kabla ya kujibu maswaliLkn kafikisha wapi timu
Nimesema hajaweza wafikia rekodi yao toka aje hapa nchini..kila msimu hafikii kwa hao miamba..Kwamba hao uliowataja wana zaidi ya 16?
Imekuchoma hyoo...Mayele yupo final CAF champions.....Je hao wachimba chumvi wapo wapi[emoji23][emoji23]
KUmbuka kpnd kagere anagunga goli 23 ,ligi ilikua na timu 20,Nimesema hajaweza wafikia rekodi yao toka aje hapa nchini..kila msimu hafikii kwa hao miamba..