Takwimu za Mayele vs Phiri, nani mkali?

Amefanya vitu gan vikubwa...
Ukienda kwa takwimu utakuta phili yupo juu ya mayele ila ukienda kwa ushabiki ndio utaona tofauti,

Angalia Moses kacheza mechi ngapi na kafunga goli ngapi kisha angalia hivyohivyo kwa mayele utapata jibu...
 
twende Kwa fact

Magoli ya Phil yameleta contribution gan
 
Yani huyu manyele wenu mpk leo ana goli 16 tuu..lol..yani hajamfika kwa ufungaji..Bocco,kagere na,wengine kibao huko nyuma
Mayele yupo final CAF champions.....Je hao wachimba chumvi wapo wapi[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…