Takwimu za Mbao FC na Simba SC katika Ligi Kuu.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Tuanzie hapa... Mbao FC ilifanikiwa kupanda ligi kuu katika msimu wa 2016/17 baada ya "mbeleko" za TFF.
Mbeleko hizo zilikuja baada ya maamuzi ya Kamati ya Nidhamu ya TFF yaliyotolewa April, 2016 kuzishusha timu 4 kutoka kundi C baada ya kukutwa na hatia ya upangaji matokeo.. Hivyo Mbao FC akafanikiwa kushika namba 1 na kupanda daraja.

Mbao FC tangu atue ligi kuu kakutana na 'Mfalme wa Nyika' Simba SC mara 4.. Matokeo yake ni kama ifuatavyo;
1. Msimu Wa 2016/17.
Tarehe: 20/10/2016
Mechi: Simba SC 1 Mbao FC 0
Uwanja: Uhuru Stadium.

Tarehe: 10/04/2017
Mechi: Mbao FC 2 Simba SC 3
Uwanja: CCM Kirumba.

2. Msimu Wa 2017/18.
Tarehe: 21/09/2017
Mechi: Mbao FC 2 Simba SC 2
Uwanja: CCM Kirumba.

Tarehe: 26/02/2018
Mechi: Simba SC 5 Mbao FC 0
Uwanja: Taifa Stadium.

Ukiangalia hizo takwimu, utagundua hawa Mbao FC hua tunajipigia tu.. kwa kifupi ni kama punching bag letu.
NOTE: Si kwamba takwimu ndiyo zitatupa ushindi hiyo kesho.. Bali Tumejipanga vilivyo.

Onyo: MK14, Choma, 'Super Sub' Salamba na Kaheza ambao hawakuwepo mara ya mwisho tukiwagonga mkono Mbao FC... Kesho Wote Ndani.

Nikiripoti toka katika viyunga vya jiji la Mwanza.. Ni Mimi Sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice).
 
Mkuu embu edit hapo kwenye takwimu

Halafu mbona leo Mashabiki wa simba mmejikita kwenye ajali ya MV Nyerere ?
 
Back
Top Bottom