Takwimu Za Mbrazil Alietua SIMBA Je ni Galasa?

Okwi ameondoka mara mbili Simba lakini alishindwa kung'ara ila akirudi Simba anang'aa tungoje ligi ianze tuone ubora wake
 
Utabiri wangu TPL mwakani..
1. Dar Young Africans (Champs)
2.KMC
3.Azam
4.Mikia
Huyo wa 4 amepanda daraja?... mbona simuoni bingwa wa msimu huu na unaokuja kwenye list yako?
 
Usajili mwingine bora ubaki kimya maana huwezi jua kitachotokea
Yale yale ya Bale kununuliwa bei kubwa akashindwa fanya kitu
Huwezi kukaa madridi miaka 2+ kama hujafanya lolote..
Huyo Bale unaemtaja labda wa Masaki sokoni
 
Sajili zote ni kamari

Ona Salah akiwa Chelsea na Liverpool
Ona De Bruyne akiwa Chelsea ona akiwa City

Njoo angalia James wa Madrid alinunuliwa kisa goli 6 WC akaenda kuwa Flop wakampeleka Bayern sasa Bayern hawamtaki na Real hawamtaki
Salah akiwa chelsea alikuwa na umri gani na sasa liver ana umri gani?vile vile de bruyne,umri unamata broo
 
Miaka 30 halafu record ya mechi chache hivyo kuna walakini sana.

Muda utasema
 
Muda utasema.
Huu usajili wa simba unatia shaka sana.

Hii timu iliyofanya vizuri kwenye mashindano ya CAF ilianza kuandaliwa na Marios Omog three years ago.

Hii tema sajili haitawasaidia chochote simba msimu unao kama tutaingia hata kwenye hatua ya makundi tutakuwa tumebahatisha sana.
bora na ww mkuu umeliona ilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…