Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Sawa lakini kaletwa na watu. Kinachookolewa ni hela clubFree agent hao ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa lakini kaletwa na watu. Kinachookolewa ni hela clubFree agent hao ww
Vitu vikali na mambo yake uwanjani yatakuwa makali sana.haha hahaha mtani;
Muda utaongea, Tusubiri
Lakini na nyinyi striker mnae
Bigirimana kwenye ubora wakeView attachment 1142814
hahahaha Mme msajili diamond ujue bro.Vitu vikali na mambo yake uwanjani yatakuwa makali sana.
Unaumwa!ndio kwanza back to back ya 2 kati ya 10Utabiri wangu TPL mwakani..
1. Dar Young Africans (Champs)
2.KMC
3.Azam
4.Mikia
Haha wana miaka si chini ya 8 ya kutesekaUnaumwa!ndio kwanza back to back ya 2 kati ya 10
Nasikia alikuwa na tezi dumeHiyo miaka 3 aliopumzika alikuwa mjamzito au?
Huyo wa 4 amepanda daraja?... mbona simuoni bingwa wa msimu huu na unaokuja kwenye list yako?Utabiri wangu TPL mwakani..
1. Dar Young Africans (Champs)
2.KMC
3.Azam
4.Mikia
Huwezi kukaa madridi miaka 2+ kama hujafanya lolote..Usajili mwingine bora ubaki kimya maana huwezi jua kitachotokea
Yale yale ya Bale kununuliwa bei kubwa akashindwa fanya kitu
Jaja alipeleka tan ngapi za ngada uturuki?Wabeba ngada hao toka brazil sio wachezaji
Huyo wa 4 amepanda daraja?... mbona simuoni bingwa wa msimu huu na unaokuja kwenye list yako?
ndo yule wa kiatu chake icho icho kimechakaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba akiwa wa 4 yanga anashuka darajaSimba a.k.a Mikia
Salah akiwa chelsea alikuwa na umri gani na sasa liver ana umri gani?vile vile de bruyne,umri unamata brooSajili zote ni kamari
Ona Salah akiwa Chelsea na Liverpool
Ona De Bruyne akiwa Chelsea ona akiwa City
Njoo angalia James wa Madrid alinunuliwa kisa goli 6 WC akaenda kuwa Flop wakampeleka Bayern sasa Bayern hawamtaki na Real hawamtaki
bora na ww mkuu umeliona iloMiaka 30 halafu record ya mechi chache hivyo kuna walakini sana.
Muda utasema
bora na ww mkuu umeliona ilo