Takwimu Za Mbrazil Alietua SIMBA Je ni Galasa?

Takwimu Za Mbrazil Alietua SIMBA Je ni Galasa?

Naona umeamua kupandanisha habari Mtani. Haya bana muda utaongea kama usemavyo.
tbt# ya wauza matunda. Afu walikuwa rojo rojo mliwasajiliji
IMG_20190627_184137_083.JPG


Nakukumbusha tu Mtoto wa tabata, bwana migomba Leo ndio kamiliza mkataba wake rasmi.
 
TAIRONE SANTOS DA SILVA. Ni mchezaji wa zamani wa vilabu vya
:
[emoji778]2009-12: Esporte: Mechi 18
[emoji778]2012: Cerâmica: Mechi 0
[emoji778]2013: Canoas: Mechi 7
[emoji778]2013: Cianorte: Mechi 10
:
[emoji3578] Baada ya hapo akapumzika kidogo kwa muda wa miaka mitatu
:
[emoji778]2016: Esporte: Mechi 4
[emoji778]2017-18: Ypiranga: Mechi 18
[emoji778]2018: Sao Luiz: Mechi 12
[emoji778]2019: Cearence: Mechi 6
[emoji778]2019- ???????
:
Karika umri wa miaka 30 amacheza mechi za mashindano 75 pekee
:
[emoji457]Magoli -2
[emoji431]Kadi za njano-24
[emoji425]Kadi Nyekundu-3
:View attachment 1142721
Kuna wajanja wanakula hela ya Kanjibhai. Awe star kweli au garasa, wametia chao mfukoni.
 
Back
Top Bottom