choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Jina: Kibu Denis
Mechi: 20
Assist : 3
goli:1
Na ndio mchezaji anayejutuma zaidi Simba
Mechi: 20
Assist : 3
goli:1
Na ndio mchezaji anayejutuma zaidi Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo ni mbinafsi na ndie anayeharibu mpira pale simbaJina: Kibu Denis
Mechi: 20
Assist : 3
goli:1
Na ndio mchezaji anayejutuma zaidi Simba
Wenyewe hauwaambii kitu kwa KibuHuyo ni mchezaji anayekimbia tu hovyo uwanjani kama kuku aliyekatwa kichwa. Kiufupi mchezaji wa aina hii anatakiwa kucheza kwenye timu za kawaida, mfano Geita Gold! Ila siyo simba.
Ni noma sanaKibu Mikimbio.. alikua kipenzi cha Mzee wa pira Objective..
Halafu wakamtimua baleke asiyejituma mwenye goli 8 kwa nusu msimuJina: Kibu Denis
Mechi: 20
Assist : 3
goli:1
Na ndio mchezaji anayejutuma zaidi Simba
HahahahahaNaona lawama Leo zinahamia Kwa kibu na siyo Saidoo tena.
Dah hahahah aisee simba wajitafakari upyaHalafu wakamtimua baleke asiyejituma mwenye goli 8 kwa nusu msimu