Takwimu za mechi za Simba vs Vipers & Yanga vs AS Real Bamako

Hizi ni dalili za wazi kabisa hizi za kwenda kupokea kichapo chenu cha mbwa mwizi cha magoli 7 kwa 0, kutoka kwa Waarabu.
Sawa, tutavunja rekodi ya Yanga kufungwa na hao Raja mabao 6-0
 
Kwani kwenye makundi Simba na Yanga wameshinda mechi ngapi ngapi?
 
Mkuu wa Tanzania hawajui mpira kwanza champions league na domestic league ni tofauti kama huwa unafuatilia mechi za nje ukiangalia ile mechi ya real Madrid na Manchester city ndio utajua champions league ni results orientated sio performance real Madrid ndio bingwa wa champions league lakini mpira wake kwenye league hata akiwa anasuasua kwenye champions league anapita na kubeba kombe ndio maana Barcelona Manchester city na PSG wanapata tabu kwenye UEFA champions league kwasababu kule hakuna nare nare wewe hata upige pasi mbili mechi ikiisha aliyeshinda ndio bigwa kiufupi mashindano ya champions yanacheza kikukubwa simba alifungwa nne na kaizer chief wakati simba iliwazidi kila kitu kaizer chief na walicheza mpira mwingi sana simba waliongoza kila kitu ila kaizer alipita

Anzia kwenye world cup team zote zinazocheza possession based football hazikufanya vizuri Spain alipigwa na Morocco na hata raisi wa real Madrid alishawahi kuwashauri ule mpira wao wanaocheza Barcelona kuwa ni old fashioned style wabadililike kama wanataka mafanikio kwenye UEFA champions league wakiendelea wataishia kushiriki kila mwaka itoshe tu kusema Tanzania hakuna mashabiki wala wachambuzi kuna bendera fuata upepo.
 
Ngapi zilifika kwa opposition final third?
 
Watasema vipers ni vibonde huku wanasahau nini kilitokea kwenye kilele cha wiki ya mwananchi
We unayakumbuka ya kilele Cha mwananchi Hadi Leo.
Kwakweli mpira haujapata wachambuzi.
Viper ni vibonde.
 
We unayakumbuka ya kilele Cha mwananchi Hadi Leo.
Kwakweli mpira haujapata wachambuzi.
Viper ni vibonde.
Ok, Simba kibonde yupo CL hatua ya makundi ambapo yanga ambae yupo vizuri yupo kwa loser wenzie TP mazembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…