Takwimu za Miguel Gamondi akiwa Yanga

Takwimu za Miguel Gamondi akiwa Yanga

Mowwo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2015
Posts
1,083
Reaction score
1,628
Wakuu mpo
Mimi ni mmoja wa walioshtushwa na kufukuzwa kwa Miguel Gamondi pale Yanga.
Inawezekana yapo nyuma ya pazia tusioyajua, ila naomba tudondoshe takwimu ambazo Yanga watamkumbuka Gamondi.
Makombe
🏆 1X NBC Premier league
🏆🏆2X FA Cup
🏆 1X Community shield
🏆 1X Toyota Cup
Ushindi wa 5-1 Vs Simba

Mwenye takwimu za mechi zake zote tupostie. Wewe kama mfuatiliaji wa mpira utamiss nini kwa Gamondi
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    21.1 KB · Views: 6
nitamiss mpira mzuri wa pressing wachezaji hata wakiwa wamefunga bado wana passion yaaakutafuta goli!
 
nitamiss mpira mzuri wa pressing wachezaji hata wakiwa wamefunga bado wana passion yaaakutafuta goli!
Yani hii kitu ilikua dhahiri mechi na Azam walivokua pungufu. Wachezaj ni 10 kwa 11 lkn pressing ilikua kubwa saaana
 
Hii habari ya kusitisha mkataba wa Gamondi Simba wameifurahia sana. 5.1
 
Hii habari ya kusitisha mkataba wa Gamondi Simba wameifurahia sana. 5.1
VIbaya sana, siku ya leo ndo zile siku walizokua wanafanya maombi itokee
 
Back
Top Bottom