Mimi ni Simba ila ukweli lazima tuukubali Mayele ni hatari sana.Ni mchezaji pekee toka utopolo ningetamani acheze Simba ila ndo basi tena naye keshaingiwa utopolo damumiNadhani tukubaliane tu kuwa Fiston Kalala Mayele ni mshambuliaji hatari zaidi kwenye ligi yetu kwa sasa. Takwimu zinaongeaView attachment 2356000
Makolo mna vichekesho uyo konokono wenu aliyeshindwa berkane uje kumfananisha na MVP wa ligi ya Ivory coast? Ligi iliyotoa wachezaji kedekede waliotikisa dunia drogba,kalou,kolo toure,Yaya toure,bakar kone,eboue,koulibaly,nk.Sawa tuwekee za aziz ki na chama
Halafu uje kwa yule aliyepigwa hatrick na sopu arusha dhidi ya air manula ili twende sawa.
MmmmhMimi ni Simba ila ukweli lazima tuukubali Mayele ni hatari sana.Ni mchezaji pekee toka utopolo ningetamani acheze Simba ila ndo basi tena naye keshaingiwa utopolo damumi
HawasemiYule Denis Kibubu kapotelea wapi?
Ila kawapiga Manyonyo kama ngomaKama mchezaji wako hajawahi kuchukua ufungaji bora hata wa ndondo cup futa uzi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshabiki maandazi anakuwa hivi ππππSawa tuwekee za aziz ki na chama
Halafu uje kwa yule aliyepigwa hatrick na sopu arusha dhidi ya air manula ili twende sawa.
Wafuasi wa Kibu Denis watapinga.Nadhani tukubaliane tu kuwa Fiston Kalala Mayele ni mshambuliaji hatari zaidi kwenye ligi yetu kwa sasa. Takwimu zinaongeaView attachment 2356000
IhefuHivi kuna timu ya ligi hapa bongo haijaonja pigigo cha Mayele? Sina kumbukumbu vizuri
Ihefu nayo ijiandae kisaikolojia kiama kiko njiani kuwafata uko uko, kikombe cha mayele akuna atakayekiepukaIhefu
Mechi ijayo wajipange kisawasawa.Ihefu