Takwimu za mshambuliaji hatari

Takwimu za mshambuliaji hatari

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Nadhani tukubaliane tu kuwa Fiston Kalala Mayele ni mshambuliaji hatari zaidi kwenye ligi yetu kwa sasa. Takwimu zinaongea
20220913_224718.jpg
 
Sawa tuwekee za aziz ki na chama
Halafu uje kwa yule aliyepigwa hatrick na sopu arusha dhidi ya air manula ili twende sawa.
Makolo mna vichekesho uyo konokono wenu aliyeshindwa berkane uje kumfananisha na MVP wa ligi ya Ivory coast? Ligi iliyotoa wachezaji kedekede waliotikisa dunia drogba,kalou,kolo toure,Yaya toure,bakar kone,eboue,koulibaly,nk.
 
Kama mchezaji wako hajawahi kuchukua ufungaji bora hata wa ndondo cup futa uzi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni Simba ila ukweli lazima tuukubali Mayele ni hatari sana.Ni mchezaji pekee toka utopolo ningetamani acheze Simba ila ndo basi tena naye keshaingiwa utopolo damumi
Mmmmh
 
Sawa tuwekee za aziz ki na chama
Halafu uje kwa yule aliyepigwa hatrick na sopu arusha dhidi ya air manula ili twende sawa.
Mshabiki maandazi anakuwa hivi 😄😄😄😄
Mbumbumbu pia anakuwa hivi. Kwani mtoa mada amemfananisha Maleye na nani? Takataka
 
Hivi kuna timu ya ligi hapa bongo haijaonja pigigo cha Mayele? Sina kumbukumbu vizuri
 
Back
Top Bottom