[emoji304][emoji304][emoji304][emoji304]... Onyango klabu bingwa msimu huu !
[emoji849] Kasababisha penati vs Horoya
[emoji849] Kasababisha penati vs Raja
[emoji849] Kasababisha penati vs Raja
Amesababisha perfect hat-trick ya penati !
[emoji119] Onyango
Kwa huyu Mzee onyango ...Makolo muanzishe timu ya mieleka haiwezekan jamaa anapiga roba wenzake kwenye box[emoji23][emoji23]View attachment 2572808
ila simba bado haiko vizuri hata jana yale matokeoIngekua ni Jana tu....tungesema labda ana usingizi
Ndio maana tunafungwa kumbe tupo na nyie wajaa laana [emoji304][emoji304][emoji304]