Takwimu za mzee onyango klabu bingwa

Takwimu za mzee onyango klabu bingwa

Kuna baadhi ya mechi apa Bongo Onyango uwa anasababisha Penalty ila waaamuzi wetu Wana mambo ya Mbeleko.
Marefa wa wenzetu awafumbii macho upuuzi.
Kabisa mkuu....hili limethibitika
 
... Onyango klabu bingwa msimu huu !

[emoji849] Kasababisha penati vs Horoya
[emoji849] Kasababisha penati vs Raja
[emoji849] Kasababisha penati vs Raja

Amesababisha perfect hat-trick ya penati !

[emoji119] Onyango

Kwa huyu Mzee onyango ...Makolo muanzishe timu ya mieleka haiwezekan jamaa anapiga roba wenzake kwenye box[emoji23][emoji23]View attachment 2572808
Anashindwa kunyumbulika
 
Mchezaji sehemu ya kugeuka na ku clear mpira anashindwa anakwenda kukata Kona kama mabasi ya Layland ya Mwingereza [emoji1][emoji1][emoji1]
Mifupa imezeeka mkuu
 
MZEE MO uwa anamsalimia MZEE ONYANGO shikamoo!

Kisia Mzee Onyango atakuwa na miaka mingapi.
 
Back
Top Bottom