Awe mwana mielekaOnyango alindwe kwa gharama yoyoteView attachment 2572850
[emoji1]Ila taifa halikupata aibu kama hiiView attachment 2572865
Umeshindwa kujizuia hatimae umejiweka hadharani
Anashindwa kunyumbulika... Onyango klabu bingwa msimu huu !
[emoji849] Kasababisha penati vs Horoya
[emoji849] Kasababisha penati vs Raja
[emoji849] Kasababisha penati vs Raja
Amesababisha perfect hat-trick ya penati !
[emoji119] Onyango
Kwa huyu Mzee onyango ...Makolo muanzishe timu ya mieleka haiwezekan jamaa anapiga roba wenzake kwenye box[emoji23][emoji23]View attachment 2572808
Mchezaji sehemu ya kugeuka na ku clear mpira anashindwa anakwenda kukata Kona kama mabasi ya Layland ya Mwingereza [emoji1][emoji1][emoji1]Anashindwa kunyumbulika
Hili dogo laba ni li choko papai