TAKWIMU ZA NDOA TANZANIA

TAKWIMU ZA NDOA TANZANIA

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Asilimia 51.4 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wameoa au kuolewa na asilimia 5.5 wanaishi pamoja. Sensa 2022.
 

Attachments

  • F4B7E5D8-88EC-40BD-B63A-CA643B08F5C8.jpeg
    F4B7E5D8-88EC-40BD-B63A-CA643B08F5C8.jpeg
    37.7 KB · Views: 4
asilimia 5.5 wanaishi pamoja.
Me kwa Me au Ke kwa Ke au wamaanisha uhusiano wa Me kwa Ke haujatambulika kiserikali
 
Asilimia 51 wameoa ,lkn ktk hzo asilimia 51 ndoa zenye migogoro na kutokulala pamoja n asilimia 50.99
 
Back
Top Bottom