lugoda12 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 276 Reaction score 574 Jul 9, 2024 #1 Asilimia 51.4 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wameoa au kuolewa na asilimia 5.5 wanaishi pamoja. Sensa 2022. Attachments F4B7E5D8-88EC-40BD-B63A-CA643B08F5C8.jpeg 37.7 KB · Views: 4
Asilimia 51.4 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wameoa au kuolewa na asilimia 5.5 wanaishi pamoja. Sensa 2022.
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Jul 9, 2024 #3 So what??
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 11,541 Reaction score 23,999 Jul 9, 2024 #4 Wewe umeolewa tayari au bado?? Tupate sensa ya jamiiforum.
Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,383 Reaction score 9,337 Jul 9, 2024 #5 asilimia 5.5 wanaishi pamoja. Me kwa Me au Ke kwa Ke au wamaanisha uhusiano wa Me kwa Ke haujatambulika kiserikali
asilimia 5.5 wanaishi pamoja. Me kwa Me au Ke kwa Ke au wamaanisha uhusiano wa Me kwa Ke haujatambulika kiserikali
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Jul 9, 2024 #6 Asilimia 51 wameoa ,lkn ktk hzo asilimia 51 ndoa zenye migogoro na kutokulala pamoja n asilimia 50.99
Asilimia 51 wameoa ,lkn ktk hzo asilimia 51 ndoa zenye migogoro na kutokulala pamoja n asilimia 50.99
Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 9,016 Reaction score 24,650 Jul 9, 2024 #7 Lovebird said: asilimia 5.5 wanaishi pamoja. Me kwa Me au Ke kwa Ke au wamaanisha uhusiano wa Me kwa Ke haujatambulika kiserikali Click to expand... Anamaanisha sogea tuishi
Lovebird said: asilimia 5.5 wanaishi pamoja. Me kwa Me au Ke kwa Ke au wamaanisha uhusiano wa Me kwa Ke haujatambulika kiserikali Click to expand... Anamaanisha sogea tuishi