Takwimu za Prince Dube akiwa Azam

Takwimu za Prince Dube akiwa Azam

choza choza

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
2,081
Reaction score
3,831
Huyu mwamba ndani ya miaka minne pale Azam amefunga jumla ya magoli 34, ikiwa ni wastani wa magoli 8 kwa msimu

Ni mshambuliaji tuu wa kawaida sema media tuu zilimkuza bila sababu

Hivyo kinachotokea pale utopoloni wala sio cha kushangaza
 
Alikuwa mchezaji wa kuikamia Simba baada ya hapo anarudi kuwa wa daraja la kawaida sana
 
Wakongweeee🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20241116-211325.png
    Screenshot_20241116-211325.png
    625.2 KB · Views: 7
True say hamna straika pale ni utopolo mtupu kama timu yake utopolo dube na mwalimu mi namchukua mwalimu.
 
Huyu mwamba ndani ya miaka minne pale Azam amefunga jumla ya magoli 34, ikiwa ni wastani wa magoli 8 kwa msimu

Ni mshambuliaji tuu wa kawaida sema media tuu zilimkuza bila sababu

Hivyo kinachotokea pale utopoloni wala sio cha kushangaza
Mi toka mwanzo sikumkubali labda ani-prove wrong. Kitu Guede bana.
 
Mnaomponda Dube, ni kwamba uwezo wake ni huo huo tangu akiwa Azam
 
Watu wamenunua garasa kwa m700 aisee?

Dube straika manjonjo hajakabwa, hajaguswa anaanguka mwenyewe? Punyeto au?

Timu linabanduliwa mbele, nyuma kote kote hovyo hovyo?

"SIMBA BINGWA"

"I SAW IT COMING,YES THEIR DOWNFALL"
 
Huyu mwamba ndani ya miaka minne pale Azam amefunga jumla ya magoli 34, ikiwa ni wastani wa magoli 8 kwa msimu

Ni mshambuliaji tuu wa kawaida sema media tuu zilimkuza bila sababu

Hivyo kinachotokea pale utopoloni wala sio cha kushangaza
Hapana media hazikumkuza bali ilikuwa ana funga kwenye big match za simba na yanga but nothing else.
 
Huyu mwamba ndani ya miaka minne pale Azam amefunga jumla ya magoli 34, ikiwa ni wastani wa magoli 8 kwa msimu

Ni mshambuliaji tuu wa kawaida sema media tuu zilimkuza bila sababu

Hivyo kinachotokea pale utopoloni wala sio cha kushangaza
Ni kweli
 
Sio kweli dube kashinda kitandani kuliko mechi alizo cheza

Kwahiyo hapo wastani ni kama 14 per msimu
Kutokana kakosa mechi nyingi
 
Back
Top Bottom