Takwimu za shule za msingi tanzania

Takwimu za shule za msingi tanzania

sagamawe

Senior Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
148
Reaction score
36
Nahitaji kujua takwimu za shule za msingi kama ifuatavyo
  1. IDadi ya shule za msingi tanzania
  2. Idadi ya walimu katika kila shule
  3. Idadi ya wanafunzi kila shule kwa jinsia
  4. takwmu za matokeo miaka kumi iliyopita
  5. wilaya kila shule inakopatikana
  6. Idadi ya shule za secondary kwa kila wilaya
Naomba msaada kujua nitazipata wapi
 
Ni ngumu kupata kwani kwa sasa ELIMU haina mama wala baba kuna wizara ya elimu,wizara ya serikali za mikoa tamisemi,wizara ya utumishi,wizara ya fedha,waziri mkuu wote hao inabidi upite.jaribu mkurugenzi elimu ya sekondari na msingi
 
Back
Top Bottom